Recent content by Makuburi101

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni jinsi gani ya kuchukua package kutoka DHL warehouse?

    Jamani mi ninataka msaada kidogo. Nilituma package kutoka UK through DHL, unfortunately package haikuchuliwa kwa wakati muafaka. Nimeongea nao wanasema ipo warehouse. So ni jinsi gani ya kuitoa hiyo package warehouse? Naombeni msaada wa mawazo.
  2. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Kifo cha mwanaJamiiForums mwenzetu Ibra87, mtunzi wa riwaya inayopendwa "Nitakupata tu"

    Maelezo ya hiyo xray inaonyesha sababu ya kifo inaweza kuwa kupasuka kwa mshipa mkuu wa damu. Aortic aneurysm, mapafu yalikuwa clear bila matatizo ila mshipa mkuu wa damu ulikuwa umevimba. Mungu amlaze mahali pema. RIP
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri

    Ni Vitu gani unaweza kuuza kirahisi toka Marekani ?
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nani kaimba wimbo huu

  5. M

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Selling Motorola smartphone (moto G4). Asking 500K /- Specifications Blazing fast octa-core processor Run multiple apps without slowing down. 13 MP rear camera, 5 MP front camera Advanced design delivers crystal-clear photos. TurboPower™ charging enabled Up to 6 hours of power in just 15...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    BLU R1 HD - 16 GB - Black; brand new unlocked smartphone, asking for 150K /-
  7. M

    JamiiForums Tanzania smartphones from US

    Kuanzia kama ma $30(60000/-) hivi. Android and window phones.
  8. M

    JamiiForums Tanzania smartphones from US

    Jamani mi Nina swali, ni simu gani zinapendwa huko nyumbani? Nina mpango wa kuleta affordable phones but higher quality. Any ideas please.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mtanzania Andrew Sanga amefariki dunia huko Houston Marekani

    It is so sad to see people write some BS about this guy (Drew), he worked so hard to be where he was, most of the people who post derogatory remarks about him are either never been here or just want to look smart. Jamaa hakuwa mwizi, alitumia hela zake ambazo alivujia jasho sana kwa mabepari...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mtanzania Andrew Sanga amefariki dunia huko Houston Marekani

    So sad, another youngster gone too soon. Ila hapa houston tutamrudisha nyumbani vizuri tu. Michango inazidi $50K sasa. Proud of the TZ community.
Back
Top Bottom