Hii siyo nzuri Mkuu.
Ana haki ya kugombea kama Mtanzania mwingine yeyote.
Nina wasiwasi na CV yake kama itamruhusu kugombea uraias lakini siyo mambo mengine kama hayo uliyoyataja.
Binafsi siwezi kumpa kura yangu maana mikia fc yenyewe ameshindwa kuingoza, ataweza kuongoza nchi yenye mamilioni...
Wazee wa kufoji!
Baada ya kukubuhu katika kufoji mikataba ya wachezaji sasa wameanza kufoji data za Kimataifa:
1. Al Ahly (Egypt) – Market Value : € 19,25 m
2. Esperance Sportive de Tunis (Tunisia) – Market Value : € 12,75 m
3. Club Africain (Tunisia) – Market Value : € 11,80 m
4. Kaizer...
Kawadanganye mbumbumbu wenzako huko! Kwenye hiyo Mwanaspoti App, mbumbumbu yeyote anaweza kuposti chochote.
Website ya CAF (CAF - Home) haina kitu kama hicho. Hata hivyo ukweli ni huu hapa:
Who is No.1? Here are the top ten RICHEST football clubs in Africa
Kwa kupitia orodha hiyo hapo juu...
Maadui wetu sisi Yanga hawako kusini mwa Afrika bali wako Kaskazini mwa Afrika.
Hao Rollers kutoka Botswana watakiona cha mtema kuni lazima wakae!
Daima Mbele Nyuma Mikia.
Kwa mwendo huu watumishi wengi wasioridhishwa na mazingira ya kazi watakuwa na ujasiri wa kuacha kazi kwani pensheni iliyokuwa inawabwetesha kuendelea na kazi haina maana tena.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.