Recent content by MAKOTI MAGUMU

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna chama cha upinzani Tanzania kinachoweza kuunda serikali

    Huna point kaa kimya.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kipima Joto ITV!! Mambo Bado Mazito Mtaani

    Ukiona unaelekea kushindwa,unaweza kumtafuta shetani akusaidie kushinda kama ccm walivyoshindaBMK lakini ushindi wa Mungu daima utadumu na si shetani.
  3. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA (UKAWA), Msisahau agenda hii muhimu

    Huo ndio ukweli elisheni watu hasa vijana na wakina mama ili tuweze kutengeneza foundation ili tuweze kushinda uchaguzi mkuu. Pili wabunge wenu wa sasa watembelee wadau hata kwenye vijiwe ili kuwainspire mapema watu na sio zima moto.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Maharamia wamefanya uharamia kupitisha Katiba Haramu

    Tuko pamoja maana mwizi tumemlea wenyewe lakini tukumbuke zake ni arobahini.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sita asubiri kutupwa kwani ameshatumika

    ushauri wangu bwana mnyika wanaukawa! Sasa kazi ianze upya ili kuelekea ukombozi wa kweli! Fuata yafuatayo; 1.ukawa teua mgombea utais mmoja na hasa james mbatia. 2.gawana kanda zote tanzania kwa mchanganyiko wa nyama vinavyounda ukawa na mtengeneze kambi rasmi ya kudumu kila kanda na bila...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sitta akalia moto

    Laana kwa sita,komba,mjuaji mwakiembe na jaji werema n.k
  7. M

    JamiiForums Tanzania Waliomzomea mwanasheria hawajitambui

    CCM yenyewe inajua unapokuwa na wabunge mbumbu kama alimpinga mwanasheria mkuu mzalendo. Hata kwa kumwangalia tu unajua kichwani hamna kitu. Eti anasema kukataa anajiona kasoma! Kweli kasoma ndio maana ni mwanasheria mkuu. Wao walizani yeye ni mamluki kama wao.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Namkataa Paul Makonda, sijamtuma Bungeni

    Msisumbuke na makonda kwa ni follower wa sita. Anajipendekeza ili aonekane anafaa kwa serikali ijayo ila usubiri lowasa apate ndo utakubali.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Samuel Sitta aunda Kamati ya maridhiano ya kuwasikiliza waliopiga kura za HAPANA

    Sita tutakutana mtaani na katiba yetu ya warioba na utakubali mwenyewe.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Samuel Sitta aunda Kamati ya maridhiano ya kuwasikiliza waliopiga kura za HAPANA

    Sita ndio maana ulichapwa viboko na mwl nyelele. Alikuona kuwa huna akili, lakini ni akili ya wanyamwezi wote ispokuwa lipumba.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sitta: Nyaraka zinazosomwa makanisani ni za kipuuzi

    Sita amelaaniwa na familia yake itaishia pabaya.
  12. M

    JamiiForums Tanzania PICHA: Bila shaka hapa Mh Zitto alikuwa anataka kutukumbusha ndoto zake za kuwa Amiri Jeshi Mkuu

    Sijui kama amanisha kuwa anastahili kuwa rais.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais, bila shaka utakuwa unaifahamu vizuri historia ya Farao

    Mbatia kutoka ukawa
Back
Top Bottom