Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,764
Sasa tutaona ni kwa jinsi gani Sita atatupwa japo utamaduni huu hutumika zaidi pale unapoenda kinyume na Chama ,lakini kwa hili la BMK Sita sasa hivi hafai kuwemo CCM hata dakika mbili kwani ni mashine iliyokwisha tumika na haina kazi tena.
Kuna watu wanatumia hela nyingi kubakia katika medani za siasa na uongozi wanapotokea kuhusika na ubadhirifu ,tunawajua akina Chnge Group,hata chama kinategemea hela zao ,ila kwa Sita ni madudu aliyotuonyesha WaTanzania inawezekana kabisa huyu ni mtu wa kuja,na hana hasara na WaTz ,ingawa inasemwa ni mnyamwezi.
Kitu kimoja kitakachomuokoa Sita katika uhai wake ni kuachana na siasa ili asikiharibu Chama,kwa hela aliyopata arudi kijijini nako huko sijui kama atakubalika,Sita amejipendekeza sana katika BMK na kuliongoza bunge hilo kiCCM akijifanya mwema kwa wajumbe wa CCM na kuwaachia ukumbi wa kusema walitakalo bila hata ya onyo labda ubabaishaji mdogo tu ili aonekane hapendelei.
Tulisikia kwamba ni mgombea mtarajiwa wa CCM ili awe mgombea Uraisi wa Tz ,labda ndio iliompelekea aongoze bunge kisiasa zaidi kuliko kizalendo asije akaikosa nafasi hiyo nyeti ndani ya Chama chake haya tusubiri apitishwe kwani amefanya kazi nzuri sana.
Ila siamini kama CCM wanaweza kumkubali kwani itawawia vigumu kuiba kura kuliko walivyojipapatua katika kupitisha Katiba yao wanayotaka iwe Katiba iliyotakana na maoni ya Wananchi.