Mwanzoni sikumuelewa na nlikuacha kuna mbinu ya ziada anaitumia ili kupata hela kwa njia anayoijua Jana nipo nyumbani Lushoto nikaamua kumtembelea
Tumeongea mengi lakini kikubwa alichonielekeza ni kuuza bidhaa kwa Bei rahisi kuliko mtu yeyote mathalani unga wa sembe anauza 1000 badala ya 1200...
Garagesiijui jina lakini ukifikirie pale shekilango Kama unaelekea kkooo upande wako was kushoto Kuna Shel pembeni ya hiyo sheli utaona yutong za newforce zipo hapo hao jamaa wanaweza Sana alaf pia waangalie nduvini autoparts ila Bei zao zipo juu sana
Chukua tangawizi saga chukua malimao 6 kamua chemsha au weka ukwju mbichi kwenye maji kikombe kimoja Cha nusu litre Hadi yawe kikombe Cha chai( tafuta na asali Kama unaweza sio lazima lakin weka vijiko vitano kwenye mchanganiko huo) changanya mchanganiko huo kunya kwa muda was sikua 3 asb mchana...
Nenda shungubweni/ boza mkuranga Kuna sehemu Kuna jiwe ambalo ukipiga picha halionekani kwenye camera watu huwaga wanaendaga happy kuomba utajiri na majini wazuri na wanafanikiwA nenda happy Kama uko serious
Bado hayakukuta unaish na mwenzako mkiplan kujenga mwaka flan mshanunua kiwanja see nyingine kumbe mwenzako kashafikisha lenta Kama ameweza kukudanganya kuhusu ujenzi watoto je
Linapokuja suala la mapenzi tubalance waungwana Kuna vipindi vya ukomavu na kuwaelewa wanawake nimevipitia labda naweza kushare hapa
2011
Niko zangu chuoni nasubiria paper ya final jumamosi kama saa 8 mchana paper happy inatakiwa ifanyike J3 mwanamke nlompenda na nliyekua na malengo maybe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.