Recent content by makongora makongors

  1. M

    Utekerezaji wa ahadi za diwani kata ya Muleba mjini

    Kamanda edwadi sijaona mwinamila ametekereza ahadi zake kwa kasi ya maajabu barabara zote kolofi za kata ya muleba mjini amezitengeneza tunampongeza kwa kazi nzuli
  2. M

    ‘Serikali ipo tayari kufikisha bungeni mikataba’

    Kamanda sijaona diwani wa kata ya muleba anaendelea kutekeleza ahadi zake kwa kasi ya maajabu barabara zote korofi za kata ya muleba mjini amezitengeneza tuna kupongeza diwani wetu
  3. M

    Mwenyekiti wa Jimbo la muleba kusini CHADEMA, sasa hatakiwi kubaki kwenye nafasi yake

    Kutokana na kuendesha chama kwa ubabe mpaka kuperekea chama kushindwa vibaya kwenye uchaguzi mkuu wakati uwezekano wa kushinda madiwani na ubunge wakati uchaguzi wa serikali za mitaa chadema ilishinda na kupata wenyeviti wengi na kuishinda ccm kutokana na ubabe wake wa kuwabuluza wajumbe wa...
  4. M

    Diwani wa kwanza kupatikana nchi nzima kupitia NLD kata ya Muleba Mjini

    Kwa Mara ya kwanza wananchi wa kata ya Muleba mjini Jimbo la Muleba kusini, wameamua kumchagua Kamanda Edwad Sijaona Mwinamira kwa kishindo amepata kura 2756 zaidi ya mpinzani wake wa karibu Hassani Milanga alie pata kura 1761kpt CUF.
  5. M

    Kata ya Muleba mjini jana ilizizima

    Kamanda Edward Sijaona Mwinamila Jana alizindua kampeini zake kupitia chama chake cha NLD kwakishindo kutokana na hotuba yake Jana wananchi wamesema anatosha kuwa diwani wao badae nitawawekea hotuba ya kamanda huyu.
  6. M

    Huyu ndie mgombea udiwani kata Muleba Mjini

    Wananchi wa kata ya muleba wamesema wanamuitaji ndugu Edwadi Sijaona Mwinamila kupitia chama cha NLD awe diwani wao kama wewe ni mwana Muleba toa maoni yako kwa kamanda huyu.
  7. M

    sijaona diwani anae itajika na wananchi wa kata ya muleba mjini

    Wananchi wa muleba wamechoka kuendelea kuongozwa na diwani wa matusi na majivuno sasa niwakati wa mabadiliko kwa wananchi wa kata ya muleba tumchague kamanda sijaona mtu wa watu...
  8. M

    Charles Mwijage, awadhalilisha Vijana wa bodaboda Jimboni

    Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage. Awambia Vijana wa bodaboda wajiunge vikundi vya watu 25 kila kikundi na atawapa Pikipiki mojamoja kwa vijana wa bodaboda. Haya ni matusi kwa vijana. Mwijage ufungashe vilago uondoke jimboni, maana unataka kuwafanya vijana watumwa Jimbo la...
  9. M

    Mashine za BVR zamkataa Anna Tibaijuka

    Ameenda kujiandikisha mashine zikagoma kusoma alama za vidole amezunguka vituo vyote mashine zimemkataa kilicho baki ni wananchi na wao kumkataa kwenye uchaguzi mkuu.
  10. M

    Diamond Platnumz: Mdee ni Mzigo Jimbo la Kawe

    huyo awambie ccm wajenge barabara iiyo yeye diamondi sindo uwa muimbaji kwenye sheree mbarimbari za maccm
  11. M

    diwani mtalajiwa kata ya muleba mjini

    huyu simwingine bari ni kamanda sijaona mwinamira nimwenyekiti wa selikari ya mtaa wa bukono kata ya muleba mjini kupitia chadema mwenyekiti huyu amesimamia maendereo kwenye mtaa anao hongoza kwa kuakikisha mradi mkubwa wa ujenzi wa soko kuu la ndizi linajengwa na kukamilika kutokana na...
  12. M

    Kata ya Muleba Mjini waitakayo

    Kata hii imeongozwa na diwani wa CUF kwa miaka kumi na tano lakini diwani huyu hakuna alichowafanyia wananchi wa kata hii zaidi ya majigambo yake na kujiita msomi. Mpaka leo shule ya kata ya Sekondari haijaisha tangu walipoanza michango mnamo mwaka wa 2007 mpaka leo, mbaya zaidi diwani huyu...
  13. M

    Hujuma dhidi ya mikutano ya ACT-Wazalendo

    wazandiki wakubwa wnao saka tonge kwa kutumia uzalendo
  14. M

    Muleba Kusini tunayoitaka

    jimbo la muleba kusini linaitaji mbunge wa kutoka ukawa sio ccm tena wakati napitapita leo kwenye vijiwe vyakaawa nikakuta mwenyekiti wa ccm wa wilaya ya muleba ndugu muhaji akizungumza na wanywaji wa kaawa wakimuuliza maswali juu ya kutangaza nia yake ya kugombea ubunge jimbo la muleba kusini...
Back
Top Bottom