Recent content by makondekoujiji

  1. makondekoujiji

    JamiiForums Tanzania Ukiwa Kama Mtanzania mwenye akili timamu unakubaliana na haya yanayoendelea?

    Nchi inaharibiwa na kikundi cha watu wachache. Bima ya afya ya toto afya imeyeyuka😭 Tozo za ajabuajabu Wizi wa. Mali ya ummah umekithiri Maisha yamezidi kuwa magumu Matumizi mabovu Huduma za afya zipo juu Internet gharama zipo juu mnoo. Kila siku mwananchi anapojaribu kutafuta ahueni kwa...
  2. makondekoujiji

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wanaochukua bidhaa Afrika Kusini na Uganda

    Mkuu mi nipo hapa capetown,na ninatamani kuanza hiyo biashara ila sijui nianzie wapi mpaka nihakikishe mzigo unafika tz na masoko
  3. makondekoujiji

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mawazo ya biashara kwa mtaji wa Tsh. Milioni 2

    Mkuu hebu nifute matongotongo hii ipoje?
  4. makondekoujiji

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mawazo ya biashara kwa mtaji wa Tsh. Milioni 2

    Hivi hii ya mtu wa kati imekaaje?Unafanyaje?
  5. makondekoujiji

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mawazo ya biashara kwa mtaji wa Tsh. Milioni 2

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naona umemfuatilia weeee[emoji23][emoji23]
  6. makondekoujiji

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mawazo ya biashara kwa mtaji wa Tsh. Milioni 2

    Unamaanisha nini mkuu kuhusu utapeli?Tujuze
  7. makondekoujiji

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mawazo ya biashara kwa mtaji wa Tsh. Milioni 2

    Miamala hewa inakuwaje mkuu?
  8. makondekoujiji

    JamiiForums Tanzania Wauza mchele, weka changamoto zenu hapa tusaidiane kuzitatua

    Tani tano inagharim mtaji kiasi gani tukiacha suala la usafiri
  9. makondekoujiji

    JamiiForums Tanzania Wauza mchele, weka changamoto zenu hapa tusaidiane kuzitatua

    Mtaji ni kiasi gani ili uweze kuagiza?
  10. makondekoujiji

    JamiiForums Tanzania Ni mashine gani hapa mjini ukiwa nayo unaweza kujipatia 50000/-isiyo na presha kwa siku?

    Mkuu hii nimeipenda Hivi tent zinauzwaje mpya???
  11. makondekoujiji

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna wakimbizi wengi toka Malawi maeneo ya Mwananyamala

    Kwani wamekukosea nini mkuu?acha Roho ya ki south africa
  12. makondekoujiji

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Bajaji yangu bado ipo vizuri mno

    Mkuu hii bajaji bado yote,pia kama upo serious toa offer yako tufanye biasharad
  13. makondekoujiji

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Bajaji yangu bado ipo vizuri mno

    Hapo vp
  14. makondekoujiji

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Bajaji yangu bado ipo vizuri mno

    Hapo vip?
Back
Top Bottom