Recent content by Makoma106

  1. Makoma106

    JamiiForums Tanzania Biashara ya fast food

    Ushawahi kufanya biashara? nini kimekuvutia kutaka kuanzisha fast food? Fast food ya aina gani unataka kuanzisha? Una plan gani na biashara yako? Wapi unataka iwe wapi kwenye miaka 5 ijayo? Umepanga kuanza na mtaji wa kiasi gani? Kwa mtazamo wako nani watakuwa wateja wako...
  2. Makoma106

    JamiiForums Tanzania Biashara ya fast food

    Fanya survey ya location, then angalia who is your target stakeholders. Fanya research for those who are conducting the same business around the place you want to establish your business, then angalia prices,, maana utakachouza cyo kitu kigeni,, pia kinauzwa, angalia wht you can offer the...
  3. Makoma106

    JamiiForums Tanzania Biashara ya fast food

    kaa chini andaa business plan, kama hujui tafuta expert then ukishafanya hivyo ndo uombe mawazo ya vipengele vinavyoleta shida,, you cant get everything cooked on table kirahisi,, make some efforts tujue ulipokwama. You don even know vinavyoitajika, we una mpango wa kuanzisha business kweli. BE...
  4. Makoma106

    JamiiForums Tanzania Biashara ya fast food

    Thax bro,.bt nko serios na ndo maan nikauliza pia,..
  5. Makoma106

    JamiiForums Tanzania Biashara ya fast food

    Naomben msaada wenu namna ya kuanzisha fast food,vitu vinavyohitajika na changamoto zake,.nahitaj mawazo yenu plz..,nitangulize shukrani....
  6. Makoma106

    JamiiForums Tanzania Unyama na ukatili wa Waarabu wa Oman kwa wafanyakazi weusi wa ndani ya nyumba (Housemaids)

    Mungu ailaze roho yke mahara pema...:
  7. Makoma106

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa update ya iPhone 3g...

    Thax bro...
  8. Makoma106

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa update ya iPhone 3g...

    Habari watu wangu wa nguvu,naomba kwa wanaofahamu wanisaidie,.iPhone 3G Inamwisho wa ku update??? Natanguliza shukrani,..
Back
Top Bottom