Poleni sana ndugu zetu mlipoteza wapendwa wenu huko Congo,nadhani si Busara kuwadhihaki wapiganaji wetu kwa kuwa wanafanya kazi kubwa kulinda nchi yetu na Wametoa maisha yao kutetea haki katika mataifa mengine, nadhani anayeponda ni muasi wa Huko ben.
Siasa zisichanganywe na masuala ya Kisayansi kwa kuwa swala la uchumi likichanganywa na siasa litatuletea matatizo,Wananchi wote washaelewa Serikali yao inataka kuwafikisha wapi, Wapate dawa HOSPITALI, ELIMU BORA, BARABARA,MAJI NA HUDUMA MUHIMU ZA KIJAMII.
Hayo ndio msingi wa maendeleo ya...
Mheshimiwa Charles Kiwanga ni vema ukakaa kimya badala ya kuagiza kundi la Madiwani wa Misungwi kuja Dar es salaam kukutea kwa waandishi wa habari kuwa uliwa haujalewa.
Leo kundi la Madiwani likiongozwa na Baraka Kingamkono, Gaudency Tungaraza na Iddy Majumuisho limefika jijini Dar es salaam...
Tumpe RAis muda afanye kazi,propaganda za kufuata mirengo ya Chama,hazitusaidii kwa kuwa tunachohitaji ni maendeleo na sio propaganda kwa sasa,uchaguzi umepita tufanye kazi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.