Recent content by makodeo

  1. makodeo

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa Daslam ndo mnaishi hivi?

    Tena ulikuwa unataka kulalia kochi mwaka mzima
  2. makodeo

    JamiiForums Tanzania Tuseme Polisi wamepewa mamlaka yakutekeleza hukumu ya kifo("laza chini") ?

    Huyu jamaa atakuwa na jambazi
  3. makodeo

    JamiiForums Tanzania Ivi upendo unathibitishwa kwa hela?

    Nimekutana na msichana miezi miwili iliyopita nikampa mistari kwanza kaniambia anamtu wake sikukata tamaa baadae ameniambia eti kama nina upendo wa kweli nimtumie laki tano kuthibitisha upendo wangu. Naomba ushauri ananitega au anashida na pesa kweli?
  4. makodeo

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ivi kuna tatizo gan huku kimara golan hii ni mara ya kumi wanakata umeme ilo tatizo tokea asubui mnashindwa kulirekebisha mnakatakata umeme kila saa?
  5. makodeo

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Maeneo ya golan
  6. makodeo

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco kimara ni jipu tokea jana umeme tunapata nusu saa wanakata kata muda wote inabidi dm ajiatathimin kama anaweza kufanya iyo kaz
Back
Top Bottom