Wapenzi,
Naona mwaka unayoyoma huo;
Kipindi hiki cha sikukuu nimekuja kutembelea Daslam nami nione utamu wa jiji.Ilikuwa nikae mpaka mwakani ila kwahili nililoliona basi narudi kwetu bara.
Ilikuwa hivi.Juzi jioni wakati tukiwa tunapata mambo na mwenyeji wangu pemben nikiwa nimekamati Mzinga SPIRITO OF THE NATION na VIJIDONNYATI KADHAA na kushushia vipande vya MDUDU huku mwenyeji wangu kama ilivyo kawaida ya wanaume wa daslam wakinywa vile vibia vidogo.
Mwenyeji wangu alipofikisha vitatu akaanza kucheka cheka na mhudumu maana yeye hapa alikuwa maarufu kidogo.Mara ghafla amkague kague kona za mwili wake huku muudu akionja onja kila tulichokuwa tunapata.Yaani alikuwa anakunywa vile vibia vidogo na kuchanganyia the spirit na kuchanganyia THE DON NYATI.
Basi tulipotosheka tukawa tunaondoka jamaa akawa anaaga.Nikashanga amemnongoneza yule binti fasta binti akacheka alafu akambusu huku akisema usijali.
Tumefika geto kwa mwenyeji wangu nikajiungusha sofani nikalaa maana mjini hamna ukarimu kabisa.Mishale ya saa tisa usiku nasikia mlango unagongwa kwa fujo huko sauti ya kike ikiita kwa fujo.Mwenyeji wangu akajibu na ghafla akafungua mlango.Yule binti kuingia tu kwanza akashtuka.Akasema si ungeniambia tuje wawili au mnataka kama siku ile.Mwenyeji wangu akanicheki akaniambia vibi tugonge mzigo huo.
Nikamwambia hapana hayo mambo yenu ya Daslaam sasa hayanifai.Niko kwenye gari sa hivi narudi kwetu bara Sili mdundo nini.
Ila wanaume wa Dasalaam maisha yenu sio kabisa.
Ndo maana dada zenu wamechoka sana.