Recent content by makobah

  1. makobah

    Edward Lowassa achukua fomu kugombea Urais mjini Dodoma

    LOWASSA: SINA MPANGO WA . KUSHINDWA EL2015 Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa, amechukua rasmi fomu ya kuomba kuteuliwa kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) huku akisema hana mpango wa kushindwa. Lowassa aliwasili katika Makao Makuu ya...
  2. makobah

    Lowassa aongea na vyombo vya habari; akataa kugusia suala la Richmond/DOWANS

    Hivi unavyosema Lowassa kapania urais unamaana gani na kapania kivipi.... Je ni MTU wa visasi vipi hivyo mbona alivyokuwa Waziri Mkuu ni nani alimfanyia kisasi....msilopoke bila hoja kwa nasirahi yenu..lakini ninyinyi mlimpa tuhuma jakaya 2005 Mara anaunwa,Mara kamfunga babu seya zote zilikuwa...
  3. makobah

    Mabadiliko ya Tanzania yanahitaji Kiongozi anayeweza kuthubutu

    Black fire wakati Lowassa anajuzuru Richmond ilikuwa haijalipwa hata shilingi....lakini Leo escrow IPTL watu wamefungua account nyau je Kati ya awa na yeye nani fisadi......
  4. makobah

    Mabadiliko ya Tanzania yanahitaji Kiongozi anayeweza kuthubutu

    Utakaririshwa tu lakini iko siku......utajutia nafisi yako....na kauli zako.
  5. makobah

    Mabadiliko ya Tanzania yanahitaji Kiongozi anayeweza kuthubutu

    "Mabadiliko ya Tanzania yanahitaji Kiongozi anayeweza kuthubutu kupigana na umasikini na kumkomboa mtanzania wa hali ya chini Kiongozi mwenye utayari wa kusaidia jamii kwa nguvu zake zote Kiongozi mwenye nia ya mkomboa mtoto wa kitanzania kupata elimu Bure na Bora,Ajira mahala...
  6. makobah

    Lowassa Atoshaa: Wajumbe wa NEC YA CCM Wanena

    Nadhani watu wamekalishwa hakuna mtu ambaye aliongwa na watu wa Lowassa hili wamsemee hakuna Bali kulikuwa na wapambe wa wagombea wengine walitembeza bahasha kila kona hili mtu wao asemwe lakini issue kubwa hauziki na hizo Pesa na zetu zimechotwa escrow Leo zimemewezesha watu kutangaza...
  7. makobah

    Lowassa Atoshaa: Wajumbe wa NEC YA CCM Wanena

    Ni ukweli mtupu kwa MTU aliyekuwepo Dodoma awezi kupinga kila mtu ukimliza anakwambia Lowassa atosha bila ubishi kila vijiwe vya mji wa Dodoma issue ni Lowassa nilipanda tex kutoka area c kwenda makao dereva anasema hapa ni Lowassa tu kwa lolote lile atosha akuna mwenye uwezo wa kuzuia upepo...
  8. makobah

    Lowassa: Kwa kupitishwa sababu hizi kamati kuu (CC), May 2015 nagombea urais wa JMT

    Naamini kamati kuu chini ya mwenyekiti wa ccm taifa mhr.rais jakaya kikwete itatimiza kazi yake kurudisha majina matano moja wapo ni Edward lowasasa NEC itapokea isitoshe wajumbe wa NEC asilimia kubwa wanaitaji mabadiliko makubwa katika nchi yetu,wanaitaji mapinduzi makubwa ndani ya...
  9. makobah

    Lowassa: Kwa kupitishwa sababu hizi kamati kuu (CC), May 2015 nagombea urais wa JMT

    Kwa nakuunga mkono mtoa mada nikweli kwa CV hakuna atakaye mshinda Lowassa sababu tokea chuo mwaka 1977alikuwa na uwezo wa kuajiliwa na kulipwa mshahara mzuri tu lakini aliamua kuwatumikia watanzania Pamoja na chama hanaijua vizuri hii nchi na nini cha itajika kufanywa kuletea maisha yaliyo bora...
  10. makobah

    Lowassa agawa Shilingi 200,000/= kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu Taifa (CCM) Mkoani Kagera

    Mtoa mada unachekesha sana hivi unasema Lowassa anagawa fedha kwa wajumbe wa mkutano Mkuu laki mbili mbili hivi utagawa fedha kitu ambacho kwanza ujagombea pili hata kama utagombea kabla sijaenda mbali hivi we nimwamaccm kweli au unakula hela za huyo aliyekutuma bule.sababu mchakato wa ccm ni...
  11. makobah

    Lowassa angelikuwa kiongozi bora angelikemea Bunge maalum la katiba.

    Naisi unakurupuka utambui kama bunge la katiba liko kwa mjibu wa sheria sasa akemee ili iweje,hata mheshiwa raid hana mamlaka ya kulikemea wala kulivunja sasa we unataka Lowassa akemee kwani yeye akili udhani kama zako,mwambie unaemuona msafi akemee issue kubwa unatimiza malengo yako ya kupokea...
  12. makobah

    Lowassa hatimaye kujitoa kinyang'anyiro cha urais 2015

    Hivi nilini Lowassa alitamka anagombea alafu Leo useme anajitoa jajipange vizuri nadhani kwa kutuma post hii umesha pewa bahasha yako jitahidi sana lakini angalia isije jikwaa tu.....
  13. makobah

    Lowassa unamdanganya nani, Ishara ya kufa kisiasa

    Mtoa taharifa hizi ni muongo sana tambua kuanzia jumamosi Lowassa hayuko Dodoma yupo dar nyumbani kwake masaki pia Lowassa ajawai kukaa kikao na mjiga kama we na kakao cha nini na hili iweje,mnasumbua sana akili zenu kila kukicha kupanga uongo na fitina zisizo kuwa na maana nadhani nifedha hiyo...
  14. makobah

    Membe kwanini unamuhofia Lowassa kiasi hiki?

    Anatambua nguvu za kisiada za lowassa jinsi anavyokubarika ndani ya ccm lakini zaidi nje ya ccm kwa watanzania wote,anaamini kutumia njia chafu kwa kuwalipa vijana fedha kushinda kwenye mitandao hili kumchafua Lowassa kumpa shutuma za uongo siku ukweli unabaki pale pale Lowassa uchapkazi wake na...
  15. makobah

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    safari ya mafanikio haina ubishi wala utani watanzania wana kiu kubwa kuona awamu ya tano chini ya mhe. Edward Lowassa,propaganda zote zitapita lakini Edo atasimama.Hakika Leo tumedhamiria na kesho tutaamua kesho kutwa tutamchagua 2015 Elimu kwanza kilimo kabla..
Back
Top Bottom