Recent content by Makinikia Original

 1. M

  Maswali ya Dr. Slaa 2015, Matokeo yametoka March 1, 2018.

  Sababu kuu iliyopelekea Dr. Slaa kujiondoa CHADEMA ulikuwa ni ujio wa Edward Lowassa kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015. Dr. Slaa alikaririwa akisema kwamba asingeweza kukaa meza moja na mtu aliyemnanga kwa miaka mingi kama fisadi. Dr. Slaa akakimbia CHADEMA na kutangaza kustaafu siasa...
 2. M

  Kwa Serikali hii Lissu hawezekani

  Nimebaki mtazamaji wa suala hili kwa muda mrefu nikijaribu kupata mdhahania wa hoja za pande zote mbili, Lissu upande mmoja na serikali upande mwingine. Tutakubaliana kwamba Lissu ni kati ya watanzania wachache waliobaki wenye uwezo wa kujenga hoja na kueleweka. Lissu ana kipaji cha kutumia...
 3. M

  Sasa Imethibitika Profesa Kabudi Kafeli

  Mpe elimu mtu huyu
 4. M

  Sasa Imethibitika Profesa Kabudi Kafeli

  Kwa hili kwenye ni clueless
 5. M

  Sasa Imethibitika Profesa Kabudi Kafeli

  Mwerevu huuliza lkn mbumbu hukaa kimya, tafakari.
 6. M

  Sasa Imethibitika Profesa Kabudi Kafeli

  Hii yote ni mikataba ambayo ni aspect ya kisheria
 7. M

  Sasa Imethibitika Profesa Kabudi Kafeli

  Na serikali imejaa wasomi kweli kweli wao wanaziita PHD
 8. M

  Sasa Imethibitika Profesa Kabudi Kafeli

  Mbwembwe nyingi za nguli wa sheria Profesa Palamagamba Aidan Mwaluko Kabudi mara tu baada ya kuteuliwa kuchukua nafasi ya uwaziri sasa zimefika tamati. Hii inaweza kuhusishwa na ugumu wa nafasi aliyopewa, kukosa uwezo au hata ufanisi wa viongozi wake wakuu kwa maana ya Rais, Makamu wa Rais na...
 9. M

  BASATA yawafungia Diamond Platnumz na Rayvanny kufanya onesho lolote. Tamasha la Wasafi lafutiwa kibali. 'Nyegezi' yawaponza

  Ikumbukwe kati ya wasanii walioshiriki kumuingiza Jiwe Magogoni ni Diamond Platnumz, Simba, Chibu D Chibu Dee ama Dangote. Kwa kutumia kipawa chake cha kuimba alilisifu Jiwe kwa nyimbo na mapambio hadi likaibuka mshindi. Siku chache baada ya uchaguzi, Tundu Lissu alikuja na ile nadharia ya...
 10. M

  Ulinzi wa Rais Magufuli ni wa hali ya juu

  Ziara ya hivi karibuni ya Rais katika mikoa ya Kanda ya Ziwa imeibua wasiwssi mkubwa wa wananchi juu ya usalama wake. Hili limechagizwa na ulinzi wa kivita anaoambatana nao na kuzua wasiwasi huemda Rais ana maadui wengi sana aliotengeneza katika miaka hii miwili kuliko waliotengenezwa na...
 11. M

  Baada ya utekelezaji wa sheria ya kodi jana, nasubiri ile sheria ya matibabu ya Lissu

  Hayo maelezo ni kama ya Makonda yaliyokataliwa jana, sheria haisemi hivyo
 12. M

  Baada ya utekelezaji wa sheria ya kodi jana, nasubiri ile sheria ya matibabu ya Lissu

  Siyo kwa mujibu wa sheria tena, au sheria na uzalendo ni kitu kimoja.
 13. M

  Baada ya utekelezaji wa sheria ya kodi jana, nasubiri ile sheria ya matibabu ya Lissu

  Kwa sababu mmeanza kulia lia kutaka amnesty ya sheria, ni lazima sheria zote zitekelezwe.
 14. M

  Baada ya utekelezaji wa sheria ya kodi jana, nasubiri ile sheria ya matibabu ya Lissu

  Siku hizi kadhaa kumezuka wimbi kubwa sana la wanachama watiifu wa chama cha Mapinduzi kutetea na kurejea katiba, sheria, kanuni na taratibu za nchi. Hili limedhibitishwa na mpiga zumari wa Ikulu ndugu Musiba kumkandia RC Makonda kwa kutaka kuvunja sheria za kodi. Mtegoni pia alinasa waziri wa...
Top Bottom