Recent content by makiangio

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ero link recruitment agency scandal

    Duh!hatimay kilio chao kimesikika, kweli hii elvis rostam imulikwe maana ni kampuni ya kinyonyaji kama huijui waulize customer care vodacom!eti mishahara inapunguzwa badala ya kupandishwa!vijana wananyonywa na degree zao pale!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nikiota msiba,haichukui muda unatokea..

    Ni kweli kabisa unaweza kuvunja hizo nguvu kwa jina la Yesu,na unapovunja hakikisha unataja watu wengi uwezavyo maana wkt mwingine ni mtu tofauti na uliyemuota!Hakika unaweza kuzuia!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je, kanisa la mhubiri Christopher Mwakasege liko wapi?

    asante sn mpendwa umefafanua vzr sn,na mifano juu!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je, kanisa la mhubiri Christopher Mwakasege liko wapi?

    ni kweli kabisa matoleo ni muhimu kama unataka baraka zako.eg fungu la kumi,malimbuko mbona baba yetu wa imani ibrahimu aliambiwa amtoe sadaka mwanae pekee?achen kuwanyooshea vidole watumishi wa MUNGU!!kama uko mlengo wa kushoto huwezi kuelewa}
Back
Top Bottom