Recent content by makeyzan

  1. makeyzan

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya ndege mpya ya ATCL eneo la Terminal One-JNIA

    Majitu mengine hata serikali ifanyaje hawawezi kupongeza. Hatukua na ndege sasa tumenunua tunaponda tuache roho mbaya
  2. makeyzan

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli waite wapinzani wako ujue wanachotaka

    Sasa ulitaka raisi mpore kwenye nchi ya mafisadi. Wakat mwingine tukumbuke tulipitoka tuache lawama. Mbona makontena yaliyopotea mlikaa kimya. Muwe na uchubgu na nchi yenu
  3. makeyzan

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli waite wapinzani wako ujue wanachotaka

    Hatutaki mafisadi sasa huo utalawa haupo sasa ni mwendo wa kutumbua tuu.
  4. makeyzan

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli waite wapinzani wako ujue wanachotaka

    Huko kuwa na wapinzan kumesaidia nn? Hawana jipya wasubil 2020
  5. makeyzan

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli waite wapinzani wako ujue wanachotaka

    Long live mr. Prezidaa tumbua tuu
  6. makeyzan

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli waite wapinzani wako ujue wanachotaka

    Wapinzani watawatia njaa wao wanawaza ikulu hawana jipya
  7. makeyzan

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli waite wapinzani wako ujue wanachotaka

    Hiyo huice itawatokea puan
  8. makeyzan

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli waite wapinzani wako ujue wanachotaka

    Upinzani wanazingua walikuwa wapi mda wote kwanza nao ni mafisadi wasubilie kutunbuliwa
  9. makeyzan

    JamiiForums Tanzania Historia ya Bendera ya Zanzibar

    kwa hili nimekelewa mweshimiwa naunga mkono hoja.
  10. makeyzan

    JamiiForums Tanzania Samweli Sitta: Swala la serekali tatu halikwepeki CCM isibaki kuwa kichwa ngumu

    haya mimi nimekua msomaji tuu"!
  11. makeyzan

    JamiiForums Tanzania Bunge la Katiba Kuahirishwa Wiki Mbili zijazo, Theluthi Mbili zakwamisha Ibara ya kwanza ya Katiba

    bora bunge la bajeti lianze mana mimi nimeshachoka na hili bunge la katiba.
  12. makeyzan

    JamiiForums Tanzania Picha: Kibali cha Leseni ya Gari kwa Mtanganyika akiwa Zanzibar

    kazi kwelikweli.
  13. makeyzan

    JamiiForums Tanzania Kwa dalili hizi, hakuna Katiba Mpya!

    teh teh teh!!
Back
Top Bottom