Recent content by makere2

  1. M

    PCB ni comb ya kukimbilia kwa sasa?

    kweli aise tunapokuwa form 6 bado tunakuwa hatujui kama kuna programme nyingine zinalipa wote pcb tunawaza MD na hilo ndo linalotumiza sisi wana pcb
  2. M

    PCB ni comb ya kukimbilia kwa sasa?

    ni h akuna chuo kinachoitwa muhasi
  3. M

    PCB ni comb ya kukimbilia kwa sasa?

    wewe toa hoja, wala muhas c chuo cha kujisifia labda ingelikuwa kcmc .
  4. M

    DAR: Ujenzi wa Daraja la Salender kuanza 2017 na kukamilika mwaka 2020

    Kwangu mimi nashindwa hilo daraja ninapunguzaje folen coco pamezungukwa na masaki, ostrebay na msasani ambako hata dadala ni chache kwa namna ya watu wanaoishi pale kuwa na mikoko yao na hao wengi wanaenda dodoma. hizo pesa zingetumika kwenye fly over na kupanua baadh ya barabara mfano nyerere...
  5. M

    PCB ni comb ya kukimbilia kwa sasa?

    hilo ni kweli mkuu siku moja tulikuwa na afsa mwajiri kwenye kikao alisema kitu hicho hicho. serikali kwanza inaangalia hela ya kuwalipa kwanza c tu kwa ajiri, kinacholeta changamoto ni mtaji wakufungua kijiwe chako hv tutabakia kupiga kwenye vidispensary2
  6. M

    PCB ni comb ya kukimbilia kwa sasa?

    kwel ndio ila ni kwa muda tu, angalia saiv vyuo vinavyotoa coz za afya e.g clinical medicine vipo vingap, pia upande wa bachelor na ulinganishe hospital zetu na vituo vya afya vyote hapo ndo utakapo gundua hili ina maana baada ya muda wote tutategemea kujiajiri
  7. M

    PCB ni comb ya kukimbilia kwa sasa?

    navyo ona ndoto za wadogo zetu zinapotea kwa weng wanao enda A level na hii comb
  8. M

    PCB ni comb ya kukimbilia kwa sasa?

    Kwangu mimi naona hii sio comb ya kukimbilia kwa sasa kwani kila mwenye uwezo wa juu ana ndoto za udaktar, sasa angalia vyuo vyetu vya udaktari na ada zake ni hatari, huyu PCB anapata div 2 udaktar anatemwa je ataenda ualimu tu. Ila angalia PCM wana program nyingi sana ambapo mwenye div2 ni...
  9. M

    Mtu aliyepata division one O-level ana akili sana kuliko aliyepata division one A-level

    advance ni ngumu kweli kila mtu anakesha na kila mtu anakuwa anatopic zake sasa nani mtihan utamlenga huyo ndo atakaefanya vizuri
  10. M

    Mtu aliyepata division one O-level ana akili sana kuliko aliyepata division one A-level

    advance huwez linganisha na olevel kwan advance kufaulu kunategemea v2 kama , uliyoyarivise karibu na paper yametoka au laa hasa phy, pia umeamkaje siku ya paper, na v2 ving hao ni pcm na pcb. mwanafunz huyu huyu alie pata one ukampa tena paper anaeza pata 3 au 4 hivyo hivyo aliyepata 3 anaeza...
  11. M

    Diploma in Medical Lab kwa anayefahamu

    medical laboratory, kwanza bado haina watu wengi, pili ni rahisi kuenda kusoma bachelor, tatu ni rahisi kujiajiri, nne haibani sana kama nurse na utabibu. hivo nakushauri kasome hiyo course hutojuta
  12. M

    Msaada wa kozi hizi za Engineering..

    Anza na NIT hiyo civil ipo pouwa sana
Back
Top Bottom