Msaada wa kozi hizi za Engineering..

Msaada wa kozi hizi za Engineering..

Angalia wewe, kati ya hizo ipi unaihusudu.Ula me nakushauri anza na mechanical then irrigation hutojuta
 
asiye uliza hana ajifunzalo! hivi tcu wanaweza kukusajiri kusoma vyuo viwili at the same time?
 
Okeii mwanzo ilkuwa hivi.....
Electrical ...UDSM
Mechanical...UDSM
Electrical...DIT
Civil...DIT
Civil...ARDH
Mkuu sasa mbona ardhi civil nimeona kama ina nafasi zilizobaki,icheki katika kozi za 2nd round
 
Mkuu sasa mbona ardhi civil nimeona kama ina nafasi zilizobaki,icheki katika kozi za 2nd round
yah mkuu ilee j.tatu wakti najaza haikuwepo ilaa jnaaa nmeiona ...
Nmeijzaaa tayariii...
Nashukuruu ubarikiwe Mkuu
 
Kwa hapo sina experience ila Kama utapenda unaweza weka quantity surveying ya Udsm niliona nafas zipo ni ushaur wangu tu huo
 
Quantity surveying ukiweka kama first priority huwez kosa matokeo yako ni mazur
 
yah mkuu ilee j.tatu wakti najaza haikuwepo ilaa jnaaa nmeiona ...
Nmeijzaaa tayariii...
Nashukuruu ubarikiwe Mkuu
We unahisi kwa nini wanafanya hivyo,yani kozi haijajaa halafu hawajakuchagua wakati vigezo unavyo!
 
Hiyo quantity surveying wanataka principal ya phy na math hio ni kwa wakadiriaji ujenzi so hio unafanya kaz kwenye sector yeyote ya ujenzi
 
Itakuwa vyema ukisema program ulizoomba mara ya kwanza kwa sababu napata maswali kichwani mwangu yafuatayo; kama wewe una one ya 9, inamaana cut off point 9 au 10 kwenye masomo matatu. Hizo program umetaja zina nafasi zimebaki, je kwanini wewe umekosa katika hizo na minimum ilikuwa ni point 4 kwenye masomo mawili?
 
Mechanical engineering mkuuu...
Nashukuru sanaaa

Dogo ushauri wangu hio course kakomae from the first day mkianza masomo,wanaliwa watu vichwa sana hio course,ni among best course za engineering..kila la kheri mungu atakusaidia,..
 
Dogo ushauri wangu hio course kakomae from the first day mkianza masomo,wanaliwa watu vichwa sana hio course,ni among best course za engineering..kila la kheri mungu atakusaidia,..
Ameen Brooo nashkuru sanaa ..
Ngojaa tukapigee mzigoo
 
Back
Top Bottom