Recent content by makenze

  1. makenze

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa wale mliowahi kuibiwa magari, bajaji, pikipiki na vitu vingine na mkavipata

    au babu alihusika hadi kuzimia?
  2. makenze

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa wale mliowahi kuibiwa magari, bajaji, pikipiki na vitu vingine na mkavipata

    Mkuu niambie kwa nini kazimia?
  3. makenze

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa wale mliowahi kuibiwa magari, bajaji, pikipiki na vitu vingine na mkavipata

    Sio magari mkuu ni vitu plus bajaj
  4. makenze

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa wale mliowahi kuibiwa magari, bajaji, pikipiki na vitu vingine na mkavipata

    Ndo zao ndo maana nikamuuliza ni polisi wa wap?
  5. makenze

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa wale mliowahi kuibiwa magari, bajaji, pikipiki na vitu vingine na mkavipata

    Sikuiona hiyo pikpk kwa macho yngu.. Ningekua ni mimi nimeipata sawa
  6. makenze

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa wale mliowahi kuibiwa magari, bajaji, pikipiki na vitu vingine na mkavipata

    Alikua anakuja nayo kazin ghafla akapotea kurud ndo akatupa story
  7. makenze

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa wale mliowahi kuibiwa magari, bajaji, pikipiki na vitu vingine na mkavipata

    Mmmhhh very sad..wezi ni washenZi
  8. makenze

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa wale mliowahi kuibiwa magari, bajaji, pikipiki na vitu vingine na mkavipata

    Unajiuliza why wamuue? Nahis alijaribu kupambana nao
  9. makenze

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa wale mliowahi kuibiwa magari, bajaji, pikipiki na vitu vingine na mkavipata

    Pole sana. Hata njia za kitaalam mara nyingi wanadanganya tu. Yaan binafsi sijawah kushuhudia mtu anasema alipata vitu. Ila kwa nini walimuua? Dah aisee
  10. makenze

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa wale mliowahi kuibiwa magari, bajaji, pikipiki na vitu vingine na mkavipata

    Mimi binafsi nishaibiwa mara kadhaa ila njia ya polisi haikuwahi nisaidia kabisa. Sasa kuna rafiki yangu aliibiwa pikpik akaenda kwa mtaalamu, pikpik ikaganda huko Tanga na iliibiwa Dar, akaifata akaikuta stend jamaa anashindwa kuitoa. Leo jirani kaibiwa bajaji kiukweli nimeshindwa kumsajestia...
  11. makenze

    JamiiForums Tanzania Nasikia kutakua na beach party kubwa Jumapili ya kusherehekea ushindi dhidi ya Corona

    Tutamgawan lemutuz
  12. makenze

    JamiiForums Tanzania DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Mnaajiri ndugu tu.kama hauna ndugu dawasco sahau ajira
Back
Top Bottom