Recent content by Makelelejr

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la ada kwa mafunzo ya ualimu ngazi ya astashahada kwa mwaka 2012/2013

    Habari za saa hizi mabibi na mabwana! Kwa wadau watoto wa wakulima, eti kuna ongezeko la ada la vyuo hv kutoka 75000/= mpaka 100000/=? Kama lipo sio mbaya je linawahusu wanaoanza au wote wanaoanza na walio mwaka wa pili? Wadau naomba msaada kwa hili!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jamani embu nisaidieni ktk hili suala la sheria za hapa bongo na mwenendo wa maisha yetu wabongo!

    Itakuwa umenisaidia sana tupo pamoja kaka na nitashukuru.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jamani embu nisaidieni ktk hili suala la sheria za hapa bongo na mwenendo wa maisha yetu wabongo!

    Kuna sheria nyingi sana mfano, sheria za ndoa, ardhi, kazi, n.k. Mimi binafsi kwa kifupi ndiyo kwanza nimeanza kujitegemea ktk hili nimeanza kukutana na mambo mengi nahisi yanakanganya sana na hii ni kuokana na mifumo ya utawala ya nchi yetu. Sisi tumetoka ktk mfumo wa kijamaa ambapo kuna mambo...
Back
Top Bottom