Ongezeko la ada kwa mafunzo ya ualimu ngazi ya astashahada kwa mwaka 2012/2013 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ongezeko la ada kwa mafunzo ya ualimu ngazi ya astashahada kwa mwaka 2012/2013

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Makelelejr, Aug 5, 2012.

 1. M

  Makelelejr New Member

  #1
  Aug 5, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari za saa hizi mabibi na mabwana!
  Kwa wadau watoto wa wakulima, eti kuna ongezeko la ada la vyuo hv kutoka 75000/= mpaka 100000/=? Kama lipo sio mbaya je linawahusu wanaoanza au wote wanaoanza na walio mwaka wa pili? Wadau naomba msaada kwa hili!
   
 2. wapalepale

  wapalepale JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 33

  Mkuu hata mimi mtoto wa ndugu yangu ameanza kuniambia inabidi nimuongezee ada! wenye taarifa watusaidie au kama mkuu umepata nisaidie taarifa hiyo muhimu. Asante!!!!!!
   
Loading...