Recent content by makawanda

  1. makawanda

    JamiiForums Tanzania Ni yupi MKE anayefaa: Mfanyakazi au asiye na kazi (golikipa)?

    Bora mke mwenye kujua changamoto za kimaisha na mtaka maendeleo kwake Makawanda
  2. makawanda

    JamiiForums Tanzania Egypt Army gives President Mohamed Morsi 48 hours Ultimatum!

    kibongobongo inawezekana kweli?
  3. makawanda

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wanaoipigania CHADEMA ni wale wavivu wasiopenda kufanya kazi-Malibwa(udsm)

    mfutilie huyo msomi utakuta na yeye uko nyuma alivurugwa na hana direction
  4. makawanda

    JamiiForums Tanzania mashindano ya kissing china wanawake wazimia baada ya kukiss muda mrefuuu!!!!!!!!!!!!

    hahahahahahahaha iyo noma welete na uku Tz waone kama sheria na utaratbu hawata vunja.
  5. makawanda

    JamiiForums Tanzania Lipumba akiri kumsaidia Kikwete Uchaguzi 2010

    Ni moja kwa moja kuwa ccm na cuf wako pamoja ila Kikwete ndo kawasaliti
  6. makawanda

    JamiiForums Tanzania Siri za kifo cha Kamanda Barlow zavuja, kamanda wa Polisi Muna atajwa! Taarifa zamfikia Pinda

    serekali yetu inaelekea wap kila siku lazima ipate aibu kwa maovu wanayofanya. Inatisha na kama ndo ivo wananchi 2taanza kuishi kwa uoga sana wakati nchi yetu na serekali n kwa ajili ya wananchi. Tuangalie sana ndugu zangu nchi inapoelekea.
  7. makawanda

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Dr. Ferdinand Masau wa Tanzania Heart Institue afariki dunia

    Ina sikitisha sana kuonekana kuwa kumebaki jengo kuwa hapa kulikuwa na hosptali ya moyo. Ila tucongee sana mungu ailaze mahal pema.
  8. makawanda

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi za kutambua simu feki na simu orijino

    mada nzuri sana hii make inawaelimisha wengi sana
  9. makawanda

    JamiiForums Tanzania Radio Imani, Kwa Neema FM zafungiwa... Clouds FM yatozwa faini!

    ni ya kweli hayo bwana make wana cmamia upand m1 ktk casa
Back
Top Bottom