Recent content by makasy

  1. makasy

    haven ride

    App kwajili ya kupata usafiri wa Taxi, Boda Boda na Bajaji Mjini. Download hapa https://play.google.com/store/apps/details?id=com.xebusinesshaven.havn
  2. makasy

    HAVEN RIDE (Usianze Safari Bila Kujua Nauli Utalipa ngapi- Nauli Maelewano)

    Huduma ya Haven Ride Sasa Imeanza Rasmi mikoa yote Tanzania, ukiwa dereva au abiria nenda Playstore Download App yenye Jina Haven Ride, Mikoa ambayo tayari ina madereva Wengi hewani ni Dar, Dodoma na Kigoma. Dereva ili Kujisajili lazima aambatanishe Picha yake na Picha ya Leseni. Download...
  3. makasy

    Kazi ya kutoa elimu na kusajiri madereva boda boda

    Kazi ya Kutoa Elimu na Kusajiri Madereva Boda Boda, Taxi na Bajaji kwenye Mfumo Mpya wa Kielectronic wa kusaidia wasafiri kupata Usafiri Mjini. Mfumo utatumiwa kupitia Android App na madereva hawatatozwa Kamisheni kwa Kila Kichwa. Kama Wewe ni Kijana na Uko kwenye Miji ifuatayo - Iringa...
  4. makasy

    Kazi ya siku tano

    ni nimefowadi ni ya rafiki yangu
  5. makasy

    Kazi ya siku tano

    Tayari
  6. makasy

    Kazi ya siku tano

    Pia Nauli ni Maelewano kati ya Dereva na Abiria, na abiria asiporidhika na nauli anaweza kucancel request na kuchagua dereva mwingine
  7. makasy

    Kazi ya siku tano

    Kabisa. Hiyo HAVEN itakuwa Mikoa Yote Tanzania na Madereva hawatalipa Kamisheni kwa kila Kichwa
  8. makasy

    Haven usafiri usiotumia smart phone

    Muda Ukifika Utaelewa tu
  9. makasy

    Haven usafiri usiotumia smart phone

    Haven- Coming Soon. Full Kuelewana Nauli , dereva Sio lazima Awe na Smartphone na hata Smartphone ikiishiwa Charge Biashara inaendelea. Mikoa yote kwa Wakati Mmoja
  10. makasy

    Kazi ya siku tano

    Nimecopy sehemu watakujibu wahusika
  11. makasy

    Kazi ya siku tano

    Natafuta Vijana wawili tu Kwa Kila Mji kwenye Miji ifuatayo:- Mbeya, Arusha, Moshi, Iringa, Mwanza, Tanga na Mtwara. Nahitaji Vijana hao kwa Ajili ya Kazi ya Kutoa Elimu na Kusajiri Madereva wa Boda Boda, Taxi na Baji kwenye Mfumo wa Kuwasaidia Kupata Abiria (HAVEN). Kupitia Mfumo Huu Dereva na...
  12. makasy

    Tunatoa huduma ya Software kwa ajili yako, mfumo kwenye vicoba, na saccos

    Je wewe ni mwanachama/Kiongozi wa wa SACCOS, VICOBA, HISA, SACA, /Kampuni ya Mikopo? Tunatoa huduma ya Software kwa ajili yako, Mfumo wetu tayari umeunganishwa na M-Pesa, tiGOPesa na Airtel Money, Wanachama wataweza kurejesha mikopo au kuweka Akiba kupitia Mpesa, tiGoPesa au Airtel Money. Pia...
  13. makasy

    App ya usafiri kama uber bila smartphone

    Nimeendelea kumchimba jamaa anayenipa taarifa za App yao ambayo inafanya kazi kama Uber ameniambia Madereva tutaweza kufanya biashara hata kama hatuna Smartphone. Ila Abiria watalazimika kuwa na Smartphone. Hii inawezekana Lakini kwenye Maps & Navigation?
Back
Top Bottom