labda nikuulize swali jingine, ethiopia, uganda, eritrea, burundi wapo huko, mbona hatusikii kwao kunavamiwa kama kenya? je mashambulizi ya alshaabab nchini kenya yalianza lini? kilichowapeleka KDF somalia ni nini? ukijijibu kwa ufasaha wakati mwingine utajisaili vyema kabla ya kuandika post...