Burundi accused of hunting refugees in Tanzania camps

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,599
6,669
Wakimbizi kutoka nchini Burundi waliokimbia machafuko nchini mwao na kukimbilia Tanzania, wameishutumu Serikali yao kuwa inatuma watu wenye silaha kwenye kambi za Wakimbizi zilizo chini ya Umoja wa Mataifa ili kuwakamata watu wanaounga mkono wapinzani.

Baadhi ya wakimbizi walipohojiwa na Aljazeera wamesema kuwa maisha yao yapo hatarini na hamna ulinzi wa kutosha, kwa hiyo hawako salama.

Wamesema kuwa wanaishi kwa mashaka kwa kuhofia watu wenye silaha wanaotumwa na Serikali ya Burundi.

Serikali ya Burundi imekanusha taarifa hizo.

====================

Refugees from Burundi, who fled violence in their country to neighbouring Tanzania, have accused their government of sending armed men into a UN-run refugee camp to hunt down opposition supporters.

Several refugees have told Al Jazeera that they fear for their lives and that there is no adequate security in the camps in Tanzania to protect them.

"The camp is currently not safe. We live in fear of Burundian government militia [members] who are in the camp," one refugee said in a phone interview, after Al Jazeera visited a camp in north west Tanzania.

The Burundian government has denied the allegations.

More than 200,000 people have fled Burundi since the African country slipped into a violent political crisis, and half of the refugees have sought shelter in Tanzania.

Al Jazeera visited the Nduta camp, where over 40,000 refugees are currently staying.

But the team was only allowed to interview refugees who had been screened by officials from the UN refugee agency, the UNHCR. The UN said the screening was for the protection of refugees.

However, other refugees in the camp who later spoke to Al Jazeera by phone said Burundi had dispatched agents who carried out attempted killings and abductions.

One man told Al Jazeera that he narrowly escaped an abduction.

5c652a7765ff4c4b858aca5fae4e27dc_18.jpg

"Some of our group were tied up. We were loaded onto a truck and driven away. My friend and I jumped off and ran away to the Tanzanian border, where we met more government militia. They killed my friend but I escaped over the border," he said.

Several other refugees also said dozens of Burundians had left the camp in November in the belief they would join an armed rebel group back in Burundi.

The refugees said they later learned it was a trap set by government-backed armed groups, and that most members of the group were killed, according to reports from people inside Burundi.

The refugees said they reported the incidents to camp officials, but most of the government agents are still at large.

Burundi's denial

Contesting the refugees' accounts, Alain Nyamitwe, the Burundian foreign minister, told Al Jazeera the allegations were baseless.

"I don't believe that there are militia operating in Tanzania as we have heard [from] UNHCR authorities," he said.

665003303001_4677655620001_vs-568162a6e4b0b0f535ee5190-782203293001.jpg

"In any case, anything beyond the borders of Burundi is not the responsibility of the government of Burundi."

The Tanzanian government, for its part, said it was not aware of the allegations, but that it would do whatever it could to secure the camps.

"The government has been very strict, and whenever we have spotted any kind of activity that is trying to suggest there is any kind of recruitment, we have actually taken serious measures," Harrison Mseke, Tanzanian director of refugees, told Al Jazeera.

"Only last week some refugees were actually apprehended and they were taken before the courts and charged on issues that were associated."

Burundi has been plunged into violence since last year, after President Pierre Nkurunziza won a controversial third term, prompting street protests, a failed coup and sectarian killings.

A leaked UN report has accused the neighbouring Rwandan government of recruiting and training Burundian refugees in a camp in Rwanda to fight against the Burundian government.

Rwanda has denied the allegations.

- With reporting from Malcolm Webb in Tanzania

Source: Al-Jazeera
 
the situation in Burundi is so irritating. let's hope USA will assist bringing peace by the use of soft language and sweet voice of her (USA) B55, and drones as she did in Afghanistan & Iraq
 
Wanatafuta njia ya kuwadanganya wazurngu ili wapewe uraia nchi za ulaya
 
Wameshauliwa watu wangapi kwenye refugee camp ya Tz na hao militia ? Hizi accusations nyingine ni kuwachanganya watu.

Waleta habari wanalipwa ku-derail wahusika wakuu wanao chochochea machafuko nchini Burundi, wako well organised kwenye masuala za propaganda za kitoto, hakuna Mrundi yeyote anayapingana na Serikali ya Nkuruzinza anaweza kuomba hifadhi kwenye kambi za wakimbizi nchiniTanzania, wapinzani wa Serikali ya Burundi wanakimbilia Rwanda na kwenye misitu ya Kongo wanako pewa mafunzo maalum na jeshi la Rwanda, mafunzo yenye lengo la kumpindua Nkuruzinza - hii inajulikana wazi hakuna kificho.

Niliangalia documentary inayo zungumzia eti majasusi wa Burundi wanapenyezwa kwenye makambi ya wakimbizi Tanzania kwa lengo la kuwadhulu wapinzani wa Nkuruzinza - kwanza Tanzania haiwezi kuruhusu makambi ya ukimbizi kutumika kisiasa, kila mkimbizi anapekuliwa vilivyo na kupewa onyo kali.

Documentary nzima ilikuwa ni usanii mtupu gone wrong - we fikiria mwandishi anajitia kusikitika eti amekatazwa kuwahoji wakimbizi ambao wanalalamika, lakini cha ajabu mzungu huyo na Mnyarwanda wanajidai wana namba za simu za victim wanao ishi makambini Tanzania ndio naana wameweza kuwasiliana nao moja kwa moja na kusikiliza malalamiko yao moja kwa moja!!!

Hivi inaingia akilini kwamba, wakimbizi halisi wanaweza kuwasiliana na mwandishi wa habari huko Uingereza kwa njia ya simu/skype wamwambie afike haraoka Tanzania kwenye makambi ya wakimbizi wa Burundi kusikiliza malalamiko yao yanayo husu kufuatwa fuatwa kwao na Serikali ya Burundi??? Kama Warundi hao wa kuchonga suala ni kutafuta hifadhi tu, kwa nini hawaendi makambi ya Rwanda ambako watajiona wako salama zaidi na jamaa zao! Kwa nini wag’ang’anie kwenye makambi ambayo wanaisi usalama wao ni mdogo sana, swali ni: ug'ang'anizi wao kwenye makambi ya Tanzania yana lengo gani; ukweli wa mambo ni kwamba wanaoa jitia wakimbizi ni mapandikizi ya PK wanapiga simu wakiwa Mahotelini au wakiwa huko huko Rwanda lengo lao ni kuipaka matope Tanzania na Serikali ya Burundi - it was a well thought out plan lakini wanebugii vibaya sana.

Propaganda hizi zimenikumbusha mwandishi wa BBC aliye vurumishwa na wana usalama wa Serikali ya Burundi mjini Bujumbura mwezi mmoja uliopita walimbamba akiwa kwenye viunga vinavyo kaliwa na Watutsi, walimkuta akiwa na kundi la watu wakitengeneza documentary ya propaganda dhidi ya Serikali ya Burundi!

Back 2 the main point, narudia kuwakumbusha kwamba Watu wenye analytical mind kali wanajua malalamiko ya wanao jiita Wakimbizi wa Burundi nchini Tanzania ni wazushi tu, huo ni usanii wa Serikali ya PK baada ya kugunduwa kwamba mbinu zao ovu za kuhujumu Serikali ya Burundi zimekwisha shitukiwa na Dunia nzima as we speak, its a question of time kabla hawajashikwa with their pants down, unjinga wao waliokuwa wamezoea kufanya DRC hauwezi kurudiwa tena Burundi bila ya ku face dire consequencies - African Countries and the World at large are fedup na adventure za Serikali ya Rwanda - they have a choice: Number one - stay at home put na mahakama zenu za gachacha na takwimu za kuchonga - treat your leaders as a Demi God ndani ya Taifa lenu, nchi jirani na Africa nzima hatuitaji an Omni present and an assumed Omni potent bellicose who finds hard 2 get along with other leaders.

Number two: Hasipo jirudi Viongozi wa Africa na nchi za nje watajipanga jinsi ya ku deal naye kikamilifu,ataburuzwa the Hague kama Gabgo,Taylor na wenzake.
 
Waleta habari wanalipwa ku-derail wahusika wakuu wanao chochochea machafuko nchini Burundi, wapo well organised kwa masuala ya propaganda za kitoto,hakuna Mrundi yeyote anayapingana na Serikali ya Nkuruzinza anaweza kuomba hifadhi kwenye kambi za wakimbizi Tanzania,wapinzani wa Serikali ya Burundi wanakimbilia Rwanda na kwenye misitu ya Kongo wanako pewa mafunzo maalum na jeshi la Rwanda yenye lengo la kumpindua Nkuruzinza hii inajulikana wazi hakuna kificho.

Niliangalia documentary inayo zungumzia majasusi eti wa Burundi wanao penyezwa kwenye makambi ya wakimbizi Tanzania kuwatafuta wapinzani wa Nkuruzinza, yote yale yalikuwa ni usanii mtupu - we fikiria eti mwandishi amekatazwa kuwahoji wakimbizi ambao walalamika lakini cha ajabu mzungu huyo na Mnyarwanda wanajidai wana namba za simu za victim wanao ishi makambini ndio naana wameweza kuwasiliana nao moja kwa moja na kusikiliza malalamiko yao.

Hivi inaingia akilini kwamba wakimbizi alisi wanaweza kuwasiliana na mwandishi wa habari huko Uingereza wamwambie afike kwenye makambi ya wakimbizi wa Burundi Tanzania kusikiliza malalamiko yao kuhusu kufuatwa fuatwa na Serikali ya Burundi, kama suala ni kutafuta hifadhi tu kwa nini hawaendi makambi ya Rwanda ambayo watajiona wako salama! Kwa nini wag’ang’anie kwenye makambi ambayo wanaisi usalama wao ni mdogo sana, ukweli ni kwamba wanao jiita wakimbizi ni mapandikizi ya PK wanapiga simu wakiwa Mahotelini au wakiwa huko huko Rwanda lengo lao ni kuipaka matope Tanzania na Serikali ya Burundi - it was a well thought out plan lakini wanebugii vibaya sana.

Narudia kuwakumbusha jwamba Watu wenye analytical mind kali wanajua huo ni usanii wa Serikali ya PK baada ya kugunduwa kwamba mbinu zao ovu kuhusu Burundi zimekwisha shitukiwa wa na Dunia nzima as we speak, its a question of time kabla hawajashikwa with their pants down, unjinga wao waliokuwa wamezoea kufanya DRC hauwezi kurudiwa tena Burundi bila ya ku face dire consequencies - African Countries and the World at large are fedup na adventure za Serikali ya Rwanda - they have a choice: Number one - stay at home put na mahakama zenu za gachacha na takwimu za kuchonga - treat your leaders as a Demi God ndani ya Taifa lenu, nchi jirani na Africa nzima hatuitaji an Omni present and an assumed Omni potent bellicose who finds hard 2 get along with other leaders.

Number two: Hasipo jirudi Viongozi wa Africa na nchi za nje watajipanga jinsi ya ku deal naye kikamilifu,ataburuzwa the Hague kama Gabgo,Taylor na wenzake.
You said it all, many thanks
 
Wakimbizi kutoka nchini Burundi waliokimbia machafuko nchini mwao na kukimbilia Tanzania, wameishutumu Serikali yao kuwa inatuma watu wenye silaha kwenye kambi za Wakimbizi zilizo chini ya Umoja wa Mataifa ili kuwakamata watu wanaounga mkono wapinzani.

Baadhi ya wakimbizi walipohojiwa na Aljazeera wamesema kuwa maisha yao yapo hatarini na hamna ulinzi wa kutosha, kwa hiyo hawako salama.

Wamesema kuwa wanaishi kwa mashaka kwa kuhofia watu wenye silaha wanaotumwa na Serikali ya Burundi.

Serikali ya Burundi imekanusha taarifa hizo.

====================

Hii haijakaa vizuri kwetu kama taifa, kuwa host country kwa refugees ni pamoja ku ensure security yao,,, I hope sio kweli
 
1. Ninavyojua makambi yako chini ya UN. UN ndio iko responsible na security ya wakimbizi hao.
2. Hii passage inaonyesha tatizo:
"But the team was only allowed to interview refugees who had been screened by officials from the UN refugee agency, the UNHCR. The UN said the screening was for the protection of refugees.

However, other refugees in the camp who later spoke to Al Jazeera by phone said Burundi had dispatched agents who carried out attempted killings and abductions."
UNHCR hawajakataza wakimbizi kuhojiwa ila ni lazima wawe screened kuhakikisha among others kuwa ni wakimbizi wa kweli. Sijaelewa kwa nini Al-Jazeera waongee kwa simu na wakimbizi ambao UNHCR haiwawathibitisha. How sure is Al-jazeera kwenye suala la credibility ya hao iliyoongea nao?
3. Kitu kingine hiki hapa:
""Some of our group were tied up. We were loaded onto a truck and driven away. My friend and I jumped off and ran away to the Tanzanian border, where we met more government militia. They killed my friend but I escaped over the border," he said."
Mbona inaonyesha wazi kuwa tatizo haliko Tanzania bali huko huko Burundi? Na kwamba hao wakimbizi wako salama kwa sababu walikimbilia na kuvuka mpaka na kuingia TZ kwenye usalama? Huyu mwandishi mkenya nini?
4. Nyingine tena:
"Several other refugees also said dozens of Burundians had left the camp in November in the belief they would join an armed rebel group back in Burundi.

The refugees said they later learned it was a trap set by government-backed armed groups, and that most members of the group were killed, according to reports from people inside Burundi.

The refugees said they reported the incidents to camp officials, but most of the government agents are still at large."
Hapa wanachekesha kweli. Wameondoka wenyewe toka kwenye makambi ya UN yaliyoko Tanzania na kurudi Burundi kwa utashi wao ili mkampindue Nkurunzinza, inakuwaje wailaumu Tanzania? Kama kuuwawa wameuliwa wakiwa kwenye ardhi ya Burundi sio Tanzania. Sielewi Tanzania inaingiaje hapo. Kichwa cha habari kinavyosomeka mtu anaweza kudhani walitekwa. Kumbe walishawishiwa (anayezunguka makambini kushawishi wakimbizi wajiunge na waasi ameshajulikana) wakarudi kwa miguu yao miwili kwenda kupigwa na Nkurunzinza Burundi! Sasa wanamlalamikia nani?
5. Tanzania iko makini sana kudhibiti makambi ya wakimbizi. Kama anavyosema ofisa wetu "Only last week some refugees were actually apprehended and they were taken before the courts and charged on issues that were associated." Haikubaliki hata kidogo kuwa wakimbizi ambao wanaamua kwa utashi wao kutoroka makambini wawe wanakamatwa halafu somehow Burundi agents wawe wana 'hunt' refugees humo humo. Impossible.
Conclusion: kwa kifupi sijaona chochote katika habari hii ambacho kinaendana na heading yake! Ni uzushi mtupu kututoa kwenye ripoti ya UN inayotaja chanzo hasa cha mgogoro wa Burundi.
 
Hii haijakaa vizuri kwetu kama taifa, kuwa host country kwa refugees ni pamoja ku ensure security yao,,, I hope sio kweli
Hii sio kweli. UNHCR haina malalamiko yoyote toka kwa mkimbizi yoyote juu ya activity yoyote kwenye makambi hayo. Huyo mwandishi amewahoji wakimbizi ambao identity zao hazijathibitishwa na UNHCR! Na amefanya hivyo makusudi, wakimbizi alioonana nao face to face makambini ambao wamekuwa vetted na UNHCR hawajamuambia hayo mambo! Hao wakimbizi anaodai kaongea nao kwenye simu ni wa kuchonga.
 
the situation in Burundi is so irritating. let's hope USA will assist bringing peace by the use of soft language and sweet voice of her (USA) B55, and drones as she did in Afghanistan & Iraq
....And hit the right country, Rwanda!
 
Hii sio kweli. UNHCR haina malalamiko yoyote toka kwa mkimbizi yoyote juu ya activity yoyote kwenye makambi hayo. Huyo mwandishi amewahoji wakimbizi ambao identity zao hazijathibitishwa na UNHCR! Na amefanya hivyo makusudi, wakimbizi alioonana nao face to face makambini ambao wamekuwa vetted na UNHCR hawajamuambia hayo mambo! Hao wakimbizi anaodai kaongea nao kwenye simu ni wa kuchonga.

Ndio tatizo ya media za magharibi
 
Waleta habari wanalipwa ku-derail wahusika wakuu wanao chochochea machafuko nchini Burundi, wako well organised kwenye masuala za propaganda za kitoto, hakuna Mrundi yeyote anayapingana na Serikali ya Nkuruzinza anaweza kuomba hifadhi kwenye kambi za wakimbizi nchiniTanzania, wapinzani wa Serikali ya Burundi wanakimbilia Rwanda na kwenye misitu ya Kongo wanako pewa mafunzo maalum na jeshi la Rwanda, mafunzo yenye lengo la kumpindua Nkuruzinza - hii inajulikana wazi hakuna kificho.

Niliangalia documentary inayo zungumzia eti majasusi wa Burundi wanapenyezwa kwenye makambi ya wakimbizi Tanzania kwa lengo la kuwadhulu wapinzani wa Nkuruzinza - kwanza Tanzania haiwezi kuruhusu makambi ya ukimbizi kutumika kisiasa, kila mkimbizi anapekuliwa vilivyo na kupewa onyo kali.

Documentary nzima ilikuwa ni usanii mtupu gone wrong - we fikiria mwandishi anajitia kusikitika eti amekatazwa kuwahoji wakimbizi ambao wanalalamika, lakini cha ajabu mzungu huyo na Mnyarwanda wanajidai wana namba za simu za victim wanao ishi makambini Tanzania ndio naana wameweza kuwasiliana nao moja kwa moja na kusikiliza malalamiko yao moja kwa moja!!!

Hivi inaingia akilini kwamba, wakimbizi alisi wanaweza kuwasiliana na mwandishi wa habari huko Uingereza kwa njia ya simu/skype wamwambie afike haraka Tanzania kwenye makambi ya wakimbizi wa Burundi kusikiliza malalamiko yao yanayo husu kufuatwa fuatwa kwao na Serikali ya Burundi??? Kama Warundi hao wa kuchonga suala ni kutafuta hifadhi tu, kwa nini hawaendi makambi ya Rwanda ambako watajiona wako salama zaidi na jamaa zao! Kwa nini wag’ang’anie kwenye makambi ambayo wanaisi usalama wao ni mdogo sana, swali ni: ug'ang'anizi wao kwenye makambi ya Tanzania yana lengo gani; ukweli wa mambo ni kwamba wanaoa jitia wakimbizi ni mapandikizi ya PK wanapiga simu wakiwa Mahotelini au wakiwa huko huko Rwanda lengo lao ni kuipaka matope Tanzania na Serikali ya Burundi - it was a well thought out plan lakini wanebugii vibaya sana.

Propaganda hizi zimenikumbusha mwandishi wa BBC aliye vurumishwa na wana usalama wa Serikali ya Burundi mjini Bujumbura mwezi mmoja uliopita walimbamba akiwa kwenye viunga vinavyo kaliwa na Watutsi, walimkuta akiwa na kundi la watu wakitengeneza documentary ya propaganda dhidi ya Serikali ya Burundi!

Back 2 the main point, narudia kuwakumbusha kwamba Watu wenye analytical mind kali wanajua malalamiko ya wanao jiita Wakimbizi wa Burundi nchini Tanzania ni wazushi tu, huo ni usanii wa Serikali ya PK baada ya kugunduwa kwamba mbinu zao ovu za kuhujumu Serikali ya Burundi zimekwisha shitukiwa na Dunia nzima as we speak, its a question of time kabla hawajashikwa with their pants down, unjinga wao waliokuwa wamezoea kufanya DRC hauwezi kurudiwa tena Burundi bila ya ku face dire consequencies - African Countries and the World at large are fedup na adventure za Serikali ya Rwanda - they have a choice: Number one - stay at home put na mahakama zenu za gachacha na takwimu za kuchonga - treat your leaders as a Demi God ndani ya Taifa lenu, nchi jirani na Africa nzima hatuitaji an Omni present and an assumed Omni potent bellicose who finds hard 2 get along with other leaders.

Number two: Hasipo jirudi Viongozi wa Africa na nchi za nje watajipanga jinsi ya ku deal naye kikamilifu,ataburuzwa the Hague kama Gabgo,Taylor na wenzake.
Naona Coalition of the willing bado iko kazini...afrika tutaacha lini kutumika ili tuendelee kwa pamoja? Tujifunze kwa kwa mataifa yaliyodhani yangeendelea na kuwaacha majirani zao katika vurugu na adha wanazozipata sasa. Sisi bado tunaweza kuendelea kama kanda kwa pamoja kuliko kuanza kuigiza movies zisizokuwa na maslahi wala kwa wakimbizi wenyewe, au kwa Burundi au kwa majirani zake. Kama ni government agents...hivi kuna nchi isiyokuwa na ma agent wake kwa majirani? Kama kuna tishio la usalama kwa nini ma agent wasiwafuate na kama kweli lengo lao ni kumwondoa Nkurunziza madarakani na anafanya jitihada kuwajua wasilalamike ndo vita na siasa ilivyo kwa hiyo wao si wakimbizi bali waasi wa serikali ya Nkurunziza. Makambini hakuna siasa wala vyama ila kama vipo ndo hivyo kimakosa na haviruhusiwi. Watulie haki yao ya siasa za Burundi ni hadi watakaporudi Burundi kwao
 
Kwenye msafara wa mamba na kenge wamo. Ndani ya kundi hilo la wakimbizi mara nyingi humo wakimbizi halisi , wakimbizi wafuata mkumbo na majasusi wa serikali wanakotoka hao wakimbizi. Majasusi Kazi yao huwa ni kuhakikisha hakijitokezi makundi yatakayogeuka wanaharakati huko ugenini. Mara nyingi walikokimbilia huamini watapata hifadhi na huruma. Ni rahasi sana yanayotokea Rwanda kuweza kutokea Tanzania. Hivyo serikali ya Nkuruzinza lazima ifanye ujasusi. Suala la kuvuka mpaka na kuwateka nyara wale wanaoonekana ni tishio siyo jambo la ajabu.
Ni wajibu wa Tanzania kuwa na wanausalama na wapelelezi kwenye kambi hizo kuhakikisha wakimbizi halisi wanapata hifadhi na baadae warudi kwako. Ya Uganda yasijirudie kwa nchi kuwahurumia Wakimbizi kiasi cha kuwaruhi kuanzisha harakati za ukombozi ndani ya mipaka yetu.
 
Ilo swala linawezekana kama Kagame alituma watu kuwaua wale Magenerali South Africa na yule mmoja kufanikiwa na mwingine ku fail nakumbuka kuna dogo Mtanzania alikua anajiita jina la (Katili) aliahidiwa kiwango kikubwa cha pesa kumuua yule Generali hakufanikiwa mpaka sasa anasota Jepe Police Johannesburg kwa iyo sioni kama inaweza kushindikana kuwatafuta watu Kigoma..
 
Suala hilo halijatokea. hakuna ushahidi wowote isipokuwa mahojiano kati ya muandishi wa Al jazeera na watu anaodai ni wakimbizi ambao kaongea nao kwa simu!
 
Mkuu jmali kwa nini unalipinga sana nakupa hadi ushahidi wa Nje ya mipaka ya mbaali huko kwa kaburu jinsi huyo Kagame na Nkurunzinza wake wanavyofanya kudidimiza wapinzani wao? Wao warundi niliongeanao Johannesburg wanasema ukionekana Mpinzani una nguvu hata ukiwa nje ya mipaka yao wanafanya kila njia wanakupoteza niliwauliza mnaweza mkarudi kwa sasa Burundi wakasema haturidi Tutauawa wengi wana Maduka ya Nguo Bree street pale na Waethiopia.
 
hii yote propaganda za Rwanda, sijui huyu kagame anachokitafuta. tumesikia mengi from mass graves in Burundi, lack of Tanzania interventions in Burundi bla bla bla!
 
Back
Top Bottom