Recent content by makasanga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mh. John Magufuli akipokea Malundo ya Kadi za CHADEMA baada ya kuisambaratisha UKAWA

    Kuna jamaa mmoja naishi nae kitaa kila mkutano mkubwa wa CCM ukifanyika yeye anarudisha kadi ya CHADEMA tulipo mgundua akadao kwamba hiyo ndo life staili yake inayomuweka mjini
  2. M

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

    Twendeni tukakeshe jangwani leo ccm siwaamini. Wanaweza kuwatuma majizi yaje kuiba
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kibwagizo Cha Kumnadi Mgombea UKAWA Kuwaweka Wengine Katika Wakati Mgumu

    Usinywe pombe hii dawa ni kali sana mtaumia bure
  4. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu 2015: Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) yakataza kurusha chopa bila kibali

    Mtanyooka tu ccm mmeaza kukata roho ndo maana mnahangaika
  5. M

    JamiiForums Tanzania CCM A na CCM B, mkae mkao wa kuliweka Taifa kwanza!

    By by ccm ila inawauma jmn watu wa ccm A
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mtu mzima ukijiingiza kwenye chandimu usilalamike kupigwa matobo na kuvishwa kanzu

    Green gurd ruksa, matus ruksa , nje ya muda wa kisheria ruksa, nk wajibiwe wasijibiwe
  7. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tunaomba kuijua ILANI yenu ya uchaguzi 2015

    Tulieni
  8. M

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Hao watu ni wa ukawa waccm ni wale wenye jezi tuu
  9. M

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Hi kali marehemu tena mnavituko Mmefanya huyu jamaa kakimbia na update zake
  10. M

    JamiiForums Tanzania Huyo ndio Lowassa anaeinyima usingizi Kikwete na CCM yake

    Bado warioba hadi mpoteane maana zarau zilikuwa nyingi sana
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete Kupoteza Waziri wakuu wawili kwa mpigo ni aibu kubwa sana kwa utawala wake!

    Bunge lilivunjwa trh 20/8/2015 kupitia mgzt ya serekali kwa mujibu wa katiba
  12. M

    JamiiForums Tanzania Asante sana Shamsa Ford, UKAWA tusonge mbele

    Sasa miaka 50 toka uhuru hv kweli ccm watatuambia kitu gn kipya kabisa ili wananchi tuwaelewe na watakifanya ndan ya miaka 5
  13. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Mabadiliko tunayoyataka yanapatika CCM

    Wafuasi wa CHAMA CHA MATAILA HAO TUWASAMEHE BURE HAWAJUI WALITENDALO
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nimegundua kuwa wanachama wengi wa CCM hawajitambui

    Ccm kitakuwa chama cha upinzani mwaka huu tena chenye wabunge wachache sana kuliko kawaida
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ccm naombeni mnishawishi niwachague tena 2015

    Mfn. Ata ungekuwa ww mwenyewe ndo kiongoz mkuu wa ccm UNGEJIBUJE? Jumba bovu wamemtupia Mapombe na kumbebesha gunia la Mavi ambalo limechanganywa na Misumali namuonea huruma ndo maana anaishia kuiba ALIMSELEMA ....
Back
Top Bottom