Kuichagua ccm utakuwa zezeta, mtumwa wa mawazo, mtanzania amka, miaka 54 leo hii hakuna maji safi na salama mijini!! je vijijini utasemaje? Wake zetu,Mama zetu, dada zetu, watoto wetu wanalazwa chini wakati wanatuzalia viongozi wa Taifa la kesho. Mabadiliko muhimu