Recent content by makarihodari

  1. makarihodari

    JamiiForums Tanzania Sakata mafuta ya kula: Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza bandarini na kukagua matanki ya mafuta

    Siku ya mwisho ya awamu ya kwanza ya miaka 5 natabiri atatokea kwenye ziara ya kushtukiza na kuanza kampeni.
  2. makarihodari

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na Zitto Kabwe wana upeo, ubunifu, weledi na utu kumzidi Magufuli

    Nikiwa rais nitakuwa rais wa wote kwa sababu maendeleo hayana chama. Nikiwa rais hakuna mtoto wa mtanzania atakosa mkopo wa elimu ya juu(tena kitu chenyewe mkopo) Eti niwe rais halafu ukute mahali hakuna maji hii hii hiii waziri husika atageuka kuwa maji.
  3. makarihodari

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli, ziara ya Rais Magufuli mikoa ya Iringa na Morogoro ilijaa kauli za kibaguzi na utengano wa kitaifa

    Hawa watu hatuwawezi kwa maana walianza miaka mingi sana.
  4. makarihodari

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Waziri wa Fedha amekiri Serikali ni mufilisi

    Bilion 7 za chadema cag alikuwa anaziona kwenye matumizi ya chadema lakini hazikupitia kwenye account za chama. Majibu aliyopewa akarizika ni kuwa hayo matumizi wafadhili walikuwa hawatoi hela bali walikuwa wanalipia huduma moja kwa moja.
  5. makarihodari

    JamiiForums Tanzania Fursa kwa wajasiriamali kutoka Namaingo Business Agency

    Mkuu wa wilaya ya ilala bi sophia mjema amemwagiza rpc kumkamata mkurugenzi wa namaingo buisnes kwa kutapeli wananchi sh bilion 5. Pia ameagiza taasisi za uma zilizohadaa wananchi zichunguzwe.
  6. makarihodari

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Nyumba Ya Kupanga Arusha

    Piga 0759174471 ukishapata uje pm kunoshukuru.mimi sio dalali na sihitaji pesa. Huyo ni dalali wangu mwaminifu.
  7. makarihodari

    JamiiForums Tanzania Wekeza pesa kidogo kuzailiza mtaji mkubwa wa mamilioni ya pesa

    Mi sitaki fulsa nataka KAZI.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
  8. makarihodari

    JamiiForums Tanzania Natafuta watu wa kuunda kikundi ili kupata mkopo serikalini

    Nimeshakucheki.
  9. makarihodari

    JamiiForums Tanzania Natafuta watu wa kuunda kikundi ili kupata mkopo serikalini

    Nipo tayari nipo arusha kikazi lakini makazi yangu ni dodoma. Pia tayari nina wazo la biashara ya kufanya dodoma nilikuwa nataka watu walio tayari.
  10. makarihodari

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume amewezaje kuwa Rais wa chama cha mawakili Tanganyika?

    We hushangai tanganyika ilishakufa lakini kuna vyama viwili tu vinavyotumia hilo jina? Tls tanganyika law sosiety naTFA tanganyia farmers association.
  11. makarihodari

    JamiiForums Tanzania Rais wangu 2020 ndo mwisho wao, halafu unda team yako!

    Mdanganye.
  12. makarihodari

    JamiiForums Tanzania Ni nani anaihujumu JamiiForums?

    Namshauri kiongozi mkuu wa jf aongee na safu nzima ya jf ili iuzwe kwa mtu yeyote aliyepo nje ya tanzania ili isilazimike kusajiliwa nchini. Natabiri ikifikia kuomba usajili jf haitapewa kwa sababu utawala huu unaihesabu kama adui. Ila ikiwa inamilikiwa either na mtanzania au mtu yeyote ambaye...
  13. makarihodari

    JamiiForums Tanzania Nchi zinazoongoza kuwa na wenye elimu ya PhD wengi duniani

    Je serikali zenye viongozi phd wengi duniani Tanzania haipo.
  14. makarihodari

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Adam na Hawa au Adam na Eva?

    Eva alikuwa mke wa kwanza alipozingua ndo Mungu akampa usingizi Adam akamtoa ubavu akamtengeneza Hawa
  15. makarihodari

    JamiiForums Tanzania Mpaka leo sijawahi kusikia uthibitisho wowote kuwa Serikali ndiyo inateka watu

    Basi hawatekwi bali wanapaa chini ya utawala huu.
Back
Top Bottom