ana uhusiano wa karibu na mkurugenzi wa usalama wa Taifa aliyechakachua kura za Dr Slaa - google mwanahalisi kwa ushahidi wa simu.
Ni urafiki na rostam hadi akapewa gari aina ya benzi
mwaka 2009 wakati anagombea akaunti ilikuwa na bili moja kasoro mil 60.
Ni TISS ya chama tawala haaminiki. unalo...
Mimi sikubaliani na baadhi ya mambo uliyoyaandika ila story inaonesha kuwa kweli jambo hilo lipo lakini chumvi imezidi. Akonaay inabidi aje hapa ili asije akawarahisishia ccm kazi mwaka 2015.
Angalia haya maccm majinga kabisa, wewe mbona umeficha jina lako. Akina mwakyembe, wahariri wa Jamhuri na Aweda wangejificha tungekuwa na tunajadili hii habari hapa JF? ACHA ushamba hawa watu wanahitaji kuombewa. Wewe kuchangia jf tu umeficha jina halafu watu wanaoleta mada za moto moto...
chuakachara Madawa ya kulevya hayana itikatidi ya kisiasa. Ndo maana nimefurahi kwenye mjadala huu watu wameweka siasa pembeni ukifuatilia toka mwanzo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.