Nadhani hii sasa ni too much manipulation ya ict! Nadhani itapelekea jammii forum kupoteza integrity yake. Wanajamii, let us post real and authentic issues
jamani dawa yoyote ili ifanye kazi ni lazima ikubaliane na mwili. Na mwili unarabatiwa na ubongo ambao ndio injini ya fikra na imani. Kwa hiyo ubishi wa imani vs tiba ni kukosa intellectual balance katika malumbano. Tukumbuke kwamba natural law of physics: Nature abhors vaccum! Kwa hiyo modern...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.