hahhahahah!! huko ukanakoita kwenu Mwanza kumefikia hatua hiyo shauri ya mchango wa wahaya au tuseme watu wa Kagera. Kaama alivyosema Tulimumu wahaya wamekuwa wawekezaji wakuu nje ya Bukoba si kwa majengo na biashara tu kama mtoa mada anavyolenga - kwa kiasi kikubwa hasa awamu ya kwanza...
ukiisha ipiga chini uwe mwangalifu na kuruhusu updates au ushawishi wa updates - pengine MS wawe wanapitia vijiprogramu vya kuvutia na ukakubali ku update.
Mpya ni maumivu na bongo unaweza umizwa hakuna mkweli - pwaga weka tena. zinafanya kazi kwa kipindi cha kuridhisha.
umenena mkuu - Mheshimiwa Wenje alishalitaja jizi kuu la Mwanza ambalo badala yake limehamishiwa Dar es Salaam likaibe zaidi. Hapo ni baada ya kutoka Mbeya.
Si bure kuna kila mkono wa Waziri Mkuu - kama sio yeye basi wasaidizi wake.
hizi porojo ndio Mzanaki (Nyerere) alizikemea kwa nguvu zake zote - mnasema mnajiendesha kwa hasara bila ufafanuzi halafu ranchi hizo hizo wakipewana sio kuuziwa watu binafsi zinajiendesha kwa faida - kuwepo kwenu kuna faida gani kama sio kuwa mzigo kwa taifa.
Halafu hizi bodi ni watu vibogoyo...
mpe tukio la kushtua palepale kwikwi inakoma - kuja kummrudia ni badae sana. nimeijaribu hii kwa wengi imefanyakazi. kwa mfano unamwambia fulani amegongwa na gari etc.
dawa ya MziziMkavu inaelekea ni suluhisho la kudumu ijaribu. hii ya kwangu haiponyeshi once and for all
Noel jina zuri!! tafuta ushauri wa watumishi wa Mungu - nina imani utaiacha hali hiyo. Nimeshuhudia vijana kadhaa hasa wa kike wakiacha hiyo kitu baada ya kuombewa kule tabata-segerea kanisa la Prophet Joseph kanisa au hekalu la ZOE. Chukua hatua.
Angalia kitabu "Undergraduate Admission Guide Book 2014/2015" ukurasa wa 10 na Table 3: Converting grades from New system to Old System to be used for Admission
TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA (TCU)
TAARIFA KWA UMMA
TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA (TCU) INA MAMLAKA KISHERIA KUSIMAMIA NA KURATIBU UDAHILI WA WANAFUNZI WOTE WANAOJIUNGA NA VYUO VIKUU VYOTE NCHINI TANZANIA.
TUME IMEBAINI KUWA, HIVI KARIBUNI BAADHI YA VYUO VIKUU VIMEKUWA VIKITANGAZA KUDAHILI...
ingia website ya Tanzania Statistical Bureau - kwenye viatbu vya sensa utaweza pata. sina uhakika kama nao wana speed ya serikali katika kubadili mikoa, wilaya etc
Hakumtaja mtu. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. kuna watu wanadai hawasikilizi Clouds halafu wana comment kama vile ndo wasikilizaji wakuu.
Hando alikerwa na viongozi kadhaa ambao siku za kumbukumbu za kifo cha Mwalimu hukoroma kujinasahabisha na usafi wa mwalimu huku wanajulikana ni...
alijazia fomu internet cafe na baada ya ku print wakamkabidhi ili apeleke posta - sasa yeye kwa kutojua baada ya kuzizungusha kwa wahusika na kupata sahihi zao akakaa na fomu nyumbani akifikiri cafe itawasilisha taarifa walizokuwa wanaingiza kwenye system.
asikatishwe tamaa procedure zote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.