Recent content by makachu Makachu

  1. M

    Tumkubali Askofu Bagonza: Sekta Binafsi Inapobanwa, Serikali haiwezi kuajiri kila mtu

    Katika nchi yetu, hoja inayotolewa na Askofu Bagonza kuhusu sekta binafsi ni ukweli ambao baadhi ya viongozi bado hawapo tayari kuupokea. Kumekuwa na mtazamo kuwa mwajiri mkuu na pengine wa pekee—ni serikali, huku sekta binafsi ikiwekwa pembeni kana kwamba mchango wake hauonekani. Hali halisi...
  2. M

    Hongera Prof. Makenya Abraham – Mwenyekiti Mpya wa TCU

    Hongera sana Prof. Makenya Abraham kwa kuteuliwa kuwa Mwenyekiti wa TCU. Tunakupongeza kwa uteuzi huo na tunakuombea Mungu akupe hekima katika kuliongoza jukumu hili muhimu. Hata hivyo, kwa muda fulani kumekuwa na changamoto katika namna TCU inavyofanya maamuzi yanayogusa vyuo vikuu. Wakati...
  3. M

    KERO Tuliosoma Bachelor of Education in Psychology, hakuna ajira tangu 2015

    Sio kwamba serikali au wizara zinaanzisha kozi ambazo hazihitajiki—la hasha. Kozi yoyote inapozinduliwa hupitia michakato kadhaa muhimu, ikiwemo tafiti za kitaaluma na tathmini ya mahitaji ya jamii pamoja na soko la ajira. Tatizo linakuja pale ambapo wanaotunga sera hawashirikishi wala...
  4. M

    KERO Tuliosoma Bachelor of Education in Psychology, hakuna ajira tangu 2015

    Pole sana. Kuna mahali wizara inafeli sana katika kufanya maamuzi bila kushirikisha wataalamu wa fani husika za kozi ambazo wao wenyewe walizianzisha. Hili ni jambo la kusikitisha sana. Madhara yake yanaonekana wazi, kwa sababu kama taifa tunafikia mahali pa kudharau fani ambazo kwa sasa ni...
  5. M

    Mfumo wa Udahili wa Mwaka 2025/26 Umekuwa Kandamizi: TCU Acheni Watu Waamue Wanaenda Wapi

    Mdau anachosema ni ukweli. Mimi nina mdogo wangu aliyeomba vyuo viwili na amekubaliwa vyote. Tulipojaribu kuthibitisha programu ambayo tumekubaliana asome, mfumo ukaonyesha program full. Tulipopiga simu chuoni, wakasema uwezo (capacity) umejaa na kwamba suala hilo liko nje ya uwezo wao kwa...
  6. M

    Pendekezo Rasmi kwa Wizara ya Elimu – Kitengo cha MitaalaYahusu: Umuhimu wa Kutenga Somo la Maadili (Ethics) kama Fani Inayojitegemea

    Sasa walio kosea isiwe kipimo cha mwanao mwanao ndo anapaswa kua mfano bora kwa kizazi kijacho
  7. M

    Pendekezo Rasmi kwa Wizara ya Elimu – Kitengo cha MitaalaYahusu: Umuhimu wa Kutenga Somo la Maadili (Ethics) kama Fani Inayojitegemea

    Nimeangalia hoja zenu nyingi, nimegundua kwamba hamjui kweli. Hamtajua madhara hadi baada ya miaka kadhaa—ndio mtajua obwe hili! Moja: Madhara ya kuchanganya Historia ya Tanzania na Maadili ni makubwa. Wakatai, tayari kuna Historia; Ethics ibaki kama Ethics na History ibaki kama History. Hakuna...
  8. M

    Pendekezo Rasmi kwa Wizara ya Elimu – Kitengo cha MitaalaYahusu: Umuhimu wa Kutenga Somo la Maadili (Ethics) kama Fani Inayojitegemea

    shauli zako tunatabia ya kuupizia mambo madogo mdago ipo siku kizazi chako kikipata madhira ndo utajua hujui. Kumbuka shuleni nisehem pekee amabapo mtoto anakaa kwa mda mrefu kuliko nyumbani unaheri wewe upuuzaye.
  9. M

    Pendekezo Rasmi kwa Wizara ya Elimu – Kitengo cha MitaalaYahusu: Umuhimu wa Kutenga Somo la Maadili (Ethics) kama Fani Inayojitegemea

    Umeongea vyema kabisa! Ngoja nidadavue kidogo kwa uelewa wangu Ethics ni tawi la falsafa linaloshughulika na mema na mabaya, maamuzi sahihi na yasiyo sahihi katika maisha ya binadamu. Ni kosa kubwa kuvuruga mitaala kwa kuchanganya maadili na historia ya Tanzania, ilhali tayari kuna somo mahsusi...
  10. M

    DOKEZO Wizara ya Elimu na taasisi zinazosimamia elimu ya juu: Kueni makini na maelekezo ya muda mfupi, ikiwemo kufungia programu mbalimbali

    Hujaelewa hoja za wadau unajibu kwa mihemko rudi huko juu usome kwa utulivu mnasababisha tensio zisizo na tija ninepitia mjadala wote wadau wanahoja na argument msingi maamzi yenu mmekurupuka alafu nikukumbushe watanzania sasa sio wajinga kama mnavyo dhani wasominwengi wako mitaani wanawangalia...
  11. M

    DOKEZO Wizara ya Elimu na taasisi zinazosimamia elimu ya juu: Kueni makini na maelekezo ya muda mfupi, ikiwemo kufungia programu mbalimbali

    Achana nae wala hana hoja anajibu kutetea mfumo badala ya kuweka mizani iliyo sawa hoja ya msingi wakubali kuna mahala wamekosea na waombe kutengua mambo waliyo amua kwa haraka haraka bila kushirikisha wadau muhimu. Hawa wancheza na mfumo wa elimu ndo maana watoto wao hawasomi humu.
  12. M

    DOKEZO Wizara ya Elimu na taasisi zinazosimamia elimu ya juu: Kueni makini na maelekezo ya muda mfupi, ikiwemo kufungia programu mbalimbali

    Kicheko! Wala sishangai. Hali ya kufuta masomo ya msingi ilianza zamani. Lakini sasa tunashuhudia hatua ya kushangaza zaidi: Somo la Uraia (Civics) limefutwa na kuunganishwa katika somo jipya la Historia ya Tanzania na Maadili — mchanganyiko usioeleweka wa taaluma tofauti. Hili ni kosa kubwa —...
  13. M

    MWAUWASA: Kulikuwa na hitilafu ya mfumo wa maji Stendi ya Mabasi Nyegezi (Mwanza), huduma imerejea

    Jamii forum njooni wenyewe hapa Nyegezi na viunga vyake achaneni na majibu marahisi haya kwa uhai wa watu! Hawa wanajibu kirahisi sana haiwezekani mwezi mzima maji maramoja yakitoka hitilafu why????? Hi kero imekua sugu alafu wakisemwa Ndo wanakuja hapa kujibu wanaona aibu! Mwanza kunashida...
  14. M

    KERO Responded Vyoo vya Umma katika Stendi ya Nyegezi Mwanza havina maji zaidi ya mwezi

    Nyegezi yote kero tupu! Hususani mitaa ya Nyegezi stendi yote !! Jamii forum njooni mjionee wenyewe kero hii imekua ikisemwa sana humu na hakuna utatuzi, mamlaka ziko kimya! Na wanakuja kutoa majibu simple sana kwa uhai wa watu. Nyegezi na mitaa yake yote maji yakitoka siku Moja mnakaa mwezi...
  15. M

    KERO Chuo Cha SAUT-Mwanza lipeni Fedha zetu tulizozidisha kwenye ada

    Chuo Cha Saut-Mwanza sisi wanafunzi tuliokwisha maliza masomo yetu kwa takriban miaka Sasa miwili tumekuwa tukiwadai Fedha ambazo tulizidisha, na baadae mkatupa maelekezo kuwa tuandike barua za kudai lakini mpaka sasa hakuna malipo Mliokwisha tulipa. Tumefuatilia sana hakuna majibu. Kumbukeni...
Back
Top Bottom