Unaonaje kama Ukifika Ofisi za Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni ili uweze kupewa majibu na Maafisa Ardhi na Mipango miji. kuliko humu ambapo hautapata majibu rasmi ya wataalamu wa eneo hilo
Kama aliweza kufika hadi kituo cha POLISI basi alikuwa anao uwezo wa kujinyonga akiwa nyumbani kwake, kwanini hakujinyongea nyumbani ambapo alikuwa huru kabisa kufanya hilo na jingine bila ya kuonwa na yeyote kwani shida yake si ilikuwa ni kujitoa uhai, Maswali kama haya ndio yanayosababisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.