Habari zenu
Nilikua naomba mtu aliyewahi kupitia kipindi cha talaka na mwenza wake hasa wanawake..tupeane experience kipindi karibu na talaka, wakati wa talaka yenyewe na maisha baada ya talaka..
Ilikuchukua muda gani ku move on?
Kipindi baada ya talaka ulifanyaje maisha yaendelee kama kawaida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.