Recent content by majula_v_fundikila

  1. majula_v_fundikila

    Ikiruhusiwa hii wangapi mtaenda kudai mpunga wenu?

    Mimi nilidhani fao la kujitoa ?mzee Baba
  2. majula_v_fundikila

    SoC02 Namna ya uwezeshwaji kwa vijana ili kujikwamua kiuchumi na kijamii

    https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/2016028/
  3. majula_v_fundikila

    SoC02 Namna ya uwezeshwaji kwa vijana ili kujikwamua kiuchumi na kijamii

    https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/2016028/
  4. majula_v_fundikila

    SoC02 Namna ya uwezeshwaji kwa vijana ili kujikwamua kiuchumi na kijamii

    Namna ya uwezeshwaji kwa vijana ili kujikwamua kiuchumi na kijamii. Kwanza nitoe pole kwa wasomaji wenzangu hasa vijana hivyo nami nitakuwa miongoni mwa watoa makala za mashindano ya mabadiliko au mageuzi kwa ajili ya uwezeshwaji kwa vijana ili kujikwamua kiuchumi na kijamii. Makala hii...
  5. majula_v_fundikila

    Inachukua muda gani kupata mafao ya kuacha kazi NSSF?

    Hapo kiongozi mpaka Mwajiri akupe go ahead bila hivo Nssf hawakutambui
  6. majula_v_fundikila

    Inachukua muda gani kupata mafao ya kuacha kazi NSSF?

    Ngoja na mie nichangie kidogo .Ni kwamba baada ya mkataba wako kuisha au kuachishwa kazi inabidi usubiri mwezi mmoja Baada ya mkataba kuisha ndo utaenda kufungua madai ya fao la kukoswa Ajira.hapo utaambiwa upeleke 1;Barua ya kuachishwa kazi 2; certificate of service 3:Nakala ya kitambulisho...
  7. majula_v_fundikila

    Leo tuikumbuke World Cup ya 2010 pale South Africa

    Nimekumbuka Taifa Stars Walivocheza na Brazil uwanja wa Taifa enzi hizo.Tulipigwa Mabao mawili ehe.Mgeni Rasmi mzee wa msoga Rais .
  8. majula_v_fundikila

    Msaada kwa wenye uelewa kuhusu fomu za mapunjo za NSSF

    Nami ninauliza hapo hapo kwenye Mapunjo ,mfano miye Nimechukua 33.3% kwa muda wa miezi sita ,kwa Sasa imepita miezi 3.Je ninaweza kwenda Nssf Kudai Mapunjo yaliyobaki.?Msaada
  9. majula_v_fundikila

    Kijana unayehangaika kutafuta mchongo wa kufanya pitia hapa, utakuja kunishukuru

    Kiongozi Mimi Niko Kibondo-Kigoma-Tanzania .Nami nisaidie hizo mbinu .
Back
Top Bottom