Anaweza kuondoa harufu hiyo kwa kutumia supplements za kutoa sumu na kusafisha utumbo.cheki na 0753298373 anazo bidhaa nzuri sana.mi najua watu alowasaidia walokuwa na tatizo hilo na sasa wapo fresh.
Hakupendi huyo angekuwa anakupenda angekuwa na wivu nawe ila kwa hayo ulosema ni wazi hakutaki ila anategea ww ndo uwe wa kwanza kumuacha...pole. U beta decide today b4 its too late.
Mwenye tatizo hizo hilo amtafute mdada anaitwa jesca ana bidhaa zinasaidia sana hilo tatizo sio kutuliza kumaliza kabisa. Namba yake ni 0753298373. Hata wale wanaotoka majasho sana na kunuka kikwapa kikaliii anayo tiba.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Khaaaa kuna watu mmepinda mpk kinyaa...huna hata haya kujinadi umemtuliza mume wa mwenzio. Furahi kama maisha yako yote utakua kimada ila ukiolewa utaonja inavyouma kujua mumeo ana mwanamke nje..ptuuu!
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.