Passport: Maombi ya Hati ya Kusafiri ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Kwa Tanzania kupata pasipoti si issue, wewe nenda kahonge tu na utapa kesho yake. We unafikiri Nigerins, Wahindi, na al shabab (waarab) wanapataje.
 
ki kawaida ni Wiki ila i know some people ambao watakufanya umiliki passport kwa siku 2 tu
sema dau lako liwe kubwa
na dau lako likiwa kubwa zaidi kuanzia saa kumi na moja asubuhi mpaka kesho asubuhi saa kumi na moja una passport tayari

karibu Dar Es Salaam

Rushwa hizi mweeeee nchi yangu huruma
 
Passport (Hati ya kusafiria)uombwa kwenye nchi yako na idara ya uhamiaji ndio wenye mamlaka ya kukupatia,jaza fomu,cheti cha kuzaliwa na picha ndogo (passport size)kuhusu mda inawezachukua one week lakini kama upo ''connected'' utaipata chini ya saa moja...Visa ni kibari cha kuingia kwenye nchi nyingine iwe ni kufanya kazi,kutembea nk wenye uwezo wa kukupa visa ni idara ya uhamiaji wa nchi unayokwenda...visa na passport ni watoto mapacha ambao uenda pamoja

Rushwa na umasikini ni mapacha, jmn tuache rushwa 'connected'
 
mkuu me yangu ime-expire ita cost sh ngapi ku-renew kwa haraka maana huo muda wa week unaweza kuwa hata mwezi nenda rudi sitaweza

kwanini hukuanza kufuatilia taratibu za ku renew muda mrefu??
hahaha anyway nenda wizara ya mambo ya ndani utapata kila kitu lol...
 
ki kawaida ni Wiki ila i know some people ambao watakufanya umiliki passport kwa siku 2 tu
sema dau lako liwe kubwa
na dau lako likiwa kubwa zaidi kuanzia saa kumi na moja asubuhi mpaka kesho asubuhi saa kumi na moja una passport tayari

karibu Dar Es Salaam
Mkuu CTU,
Najua unaelewa kabisa kwa PASSPORT YA TANZANIA au nchi yoyote ni nyaraka nyeti sana kwa Taifa. Inasikitisha na kushangaza unapochukulia urahisi katika suala Kama hili na kuandika hayo uliyoandika. Utanzania wako au UZALENDO uko wapi!!??? Hili ni Jambo linalohusu Usalama wa Taifa letu na Watanzania wote. Inashangaza kuona kuna baadhi ya watu mnaleta mzaha na utani katika mambo mazito Kama hayo. TUWE MAKINI.
 
Wakuu kwa wenye uzoefu na hili, utaratibu ukoje? Je wanataka viambatanishi vipi na gharama zikoje?? Je inachukua muda gani toka kufanya application mpaka kuipata? Na mwisho kuna tofauti gani kati ya VISA na PASSPORT?

Natanguliza shukrani!!
Mkuu Tindikali,
Nenda UHAMIAJI watakusaidia zaidi katika hili.
 
Mkuu CTU,
Najua unaelewa kabisa kwa PASSPORT YA TANZANIA au nchi yoyote ni nyaraka nyeti sana kwa Taifa. Inasikitisha na kushangaza unapochukulia urahisi katika suala Kama hili na kuandika hayo uliyoandika. Utanzania wako au UZALENDO uko wapi!!??? Hili ni Jambo linalohusu Usalama wa Taifa letu na Watanzania wote. Inashangaza kuona kuna baadhi ya watu mnaleta mzaha na utani katika mambo mazito Kama hayo. TUWE MAKINI.

Rushwa ilikuwapo, Ipo na Itaendelea kuwapo....
Hasa kwa nchi zetu hizi
punguza povu ishi na system iliyopo sasa hivi

karibu kitimoto na bia hapa
 
habari zenu wadau. Mwennzenu nina shida nataka hati ya kusafiria kwa ajili ya kwenda Sweeden kutafuta ajiri ambapo kuna kaka yangu ameniambia nitafute passport ye atashugulikia visa na tiketi. Nimechukua fomu ya kuomba passport na kujaza nikairudisha uhamiaji pamoja na viambatanisho kama vyeti vya masomo, barua ya mtendaji, cheti cha kuzaliwa. Bado wanataka viambatanisho zaidi kama barua ya kuajiriwa au kuitwa kwenye kazi, utambulisho wa uraia wa mzazi ambavyo siwezi kuvipata kwa sasa naombeni msaada wenu
 
Kama una haraka wape laki yao watafune Passport utaletewa mpaka nyumbani.

CCM wameiharibu hii nchi inanuka rushwa kila idara. Hata ukitaka ajira Takukuru mpaka utowe rushwa.
 
watu hao nitawapata wapi?
 
Hivi huwezi kumtongoza mwanamke na akakuelewa?

Vitu vingine viko ndani ya uwezo wako, mkamate immigration officer utakayemuona ana sura ya kibinadamu mueleze shida yako na reward ya shilling laki moja, si kila kitu mpaka ushikwe mkono.

asante sana mdau..
 
habari zenu wadau. Mwennzenu nina shida nataka hati ya kusafiria kwa ajili ya kwenda Sweeden kutafuta ajiri ambapo kuna kaka yangu ameniambia nitafute passport ye atashugulikia visa na tiketi. Nimechukua fomu ya kuomba passport na kujaza nikairudisha uhamiaji pamoja na viambatanisho kama vyeti vya masomo, barua ya mtendaji, cheti cha kuzaliwa. Bado wanataka viambatanisho zaidi kama barua ya kuajiriwa au kuitwa kwenye kazi, utambulisho wa uraia wa mzazi ambavyo siwezi kuvipata kwa sasa naombeni msaada wenu

Aaaah! Unatania?

"Dalali" Mbona rahisi pochi yako tu.
 
Vitu vingine viko ndani ya uwezo wako, mkamate immigration officer utakayemuona ana sura ya kibinadamu mueleze shida yako na reward ya shilling laki moja, si kila kitu mpaka ushikwe mkono.

Mkuu siku hizi hata huitaji kutoa hongo bali huitwa takrima na haihitaji hela kubwa kiasi hicho...

Huyu jamaa kuna mahali nahisi kajikoroga kwenye kujaza fomu ya maombi ya hati ya kusafiria...

Ukimsoma vizuri ni kwamba kaahidiwa na kaka yake kwenda kutafutiwa kibarua huko Sweden...

Sasa kosa ambalo naamini kalifanya ni pale alipotakiwa kueleza madhumuni ya kuomba 'passport'...

Bila shaka huyu bwana alichagua kile kipengele cha kwenda kufanya kazi...

Sasa kwa utaratibu wa Uhamiaji, unapoomba passport kwa sababu kadhaa ikiwemo hili la kufanya kazi, huwa wanahitaji kiambatanisho ambacho ni "Mkataba wa kazi" na wakati mwingine "Barua ya kuitwa kazini"...vitu ambavyo naamini ndugu yetu hakuwa navyo kwa kuwa kaitwa kwenda kubeba boksi.

Alichopaswa kufanya ni kuandika madhumuni ya safari ni biashara au kutembea au kumtembelea ndugu...

Hilo la Cheti cha Uraia cha mzazi inabidi atengeneze Affidavit na igongwe muhuri wa Mwanasheria...maana wazee wa zamani wengi hawana Birth Certificates...
 
Kama una haraka wape laki yao watafune Passport utaletewa mpaka nyumbani.

CCM wameiharibu hii nchi inanuka rushwa kila idara. Hata ukitaka ajira Takukuru mpaka utowe rushwa.

Hahahahahaaa mkuu umenichekesha mpaka njaaa imeuama!uwiii
 
Mkuu siku hizi hata huitaji kutoa hongo bali huitwa takrima na haihitaji hela kubwa kiasi hicho...

Huyu jamaa kuna mahali nahisi kajikoroga kwenye kujaza fomu ya maombi ya hati ya kusafiria...

Ukimsoma vizuri ni kwamba kaahidiwa na kaka yake kwenda kutafutiwa kibarua huko Sweden...

Sasa kosa ambalo naamini kalifanya ni pale alipotakiwa kueleza madhumuni ya kuomba 'passport'...

Bila shaka huyu bwana alichagua kile kipengele cha kwenda kufanya kazi...

Sasa kwa utaratibu wa Uhamiaji, unapoomba passport kwa sababu kadhaa ikiwemo hili la kufanya kazi, huwa wanahitaji kiambatanisho ambacho ni "Mkataba wa kazi" na wakati mwingine "Barua ya kuitwa kazini"...vitu ambavyo naamini ndugu yetu hakuwa navyo kwa kuwa kaitwa kwenda kubeba boksi.

Alichopaswa kufanya ni kuandika madhumuni ya safari ni biashara au kutembea au kumtembelea ndugu...

Hilo la Cheti cha Uraia cha mzazi inabidi atengeneze Affidavit na igongwe muhuri wa Mwanasheria...maana wazee wa zamani wengi hawana Birth Certificates...

Unafki unawasumbuwa tu hawa vilaza, kila siku wanatoa vibali vya kazi kwa wahindi kwa wasiostahili.

Passport ni haki ya kila raia na hitaji muhimu ni cheti cha kuzaliwa tu, haya mengine ni urasimu wa kipumbavu tu.

Najuwa alijichanganya kwenye kujaza fomu, sasa kuondoa longolongo lazima vijana wale pesa hapo, tena kuna vitoto vimetoka chuo ndio vimeajiliwa sasa hivi vina uchu wa pesa si mchezo.
 
Jamani naomba mwenye ufahamu wa namna ya kupata pass kubwa ya kusafiria anijuze tafadhali.
 
Back
Top Bottom