Recent content by majovita21

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hata mambo ya msingi tusihoji?

    Mh.Rais kweli hilo ndilo jibu uliloamua kutuchagulia watanzania juu ya yanayoendelea? kweli kabisa toka moyoni mwako umeona hilo ndilo linatufaa? Mungu Tusaidie.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa "Tunaimani na Lowassa" bado Unamtesa Mwenyekiti.

    Ni kweli Leo chama changu ccm pia tumeikataa demokrasia? Leo tunabadili katiba na kuweka vipengele vya kumpitisha mtu bila kupingwa? kipi kinaogopwa na kipi kinaandaliwa? Leo tunawakamata wenzetu wanaojalibu kuwa na mitazamo tofauti? kwa nini sasa mlihitisha mkutano? bora mngekaa tu na kuja na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

    Hakika inashangaza sana katika Yale yanayoendelea Dodoma katika vikao vya ccm, Siamin kabisa kama mwenyekiti anaamua kutupeleka kwa namna hii ? kuna hatari kubwa sana inakuja mbeleni hii siyo kwa ccm tu ni kwa taifa zima. kwa nini ubadili katiba ikuluhusu kupita bila kupingwa? Leo wale wanaohoji...
  4. M

    JamiiForums Tanzania NATAMANI INGEKUWA HIVI KWA MAKONDA LAKINI HAITAKUWA.

    kutokana na mkanganyiko ulijitokeza juu ya mkuu wa mkoa Mr.Makonda, has a kwa njia anazojalibu kutumia kushughulikia swala zima La madawa ya kulevya kwa kuwataja watu hadharan na kuwaita pale central police, njia hii imeleta zogo sana has a ikishutumiwa kama njia ya kudumazana na kuchafuana...
Back
Top Bottom