NATAMANI INGEKUWA HIVI KWA MAKONDA LAKINI HAITAKUWA.

majovita21

Member
Jan 23, 2017
5
6
kutokana na mkanganyiko ulijitokeza juu ya mkuu wa mkoa Mr.Makonda, has a kwa njia anazojalibu kutumia kushughulikia swala zima La madawa ya kulevya kwa kuwataja watu hadharan na kuwaita pale central police, njia hii imeleta zogo sana has a ikishutumiwa kama njia ya kudumazana na kuchafuana kisiasa na mengine mengi. pia kumekuwepo na madai juu ya ndugu yetu Huyu mkuu wa mkoa kuonekana no kiongozi special katika awamu hii ya tano kwa kuwa na uwezo wa kufanya hata Yale yaliyo nje ya mipaka yake kiutawala na kisheria pia, watu mbalimbali wamelalamika juu ya hili lakin pale tunaposubili majibu kwa wale waliojuu take hasa katika ngazi za uteuzi majibu yake hakika yamekuwa mengi ya kuudhi sana pale watawala wanapohalalisha uvunjwaji wa sheria na udhalilishwaji unaofanyika chini ya mkuu wa mkoa.

Ninachikiamin juu ya yote anayoyafanya ndugu makonda., ni dhahili kuwa Yale ayafanyayo kuna MTU yupo nyuma yake, kuna MTU anamwambia Leo muite flan alafu mfanyie hivi au vile, hilo halihtaji shule kubwa kutambua kinachoendelea na hilo sasa limejenga kiburi na kujiskia sana kwa ndugu makonda, ndio maana Leo anabishana hadi na bunge kupinga maazimio ya binge kwa kuwambia haendi huko waliko muita, ndio maana hata mkuu yule wa bunge kashilila alijitokeza kujalibu kupinga maamzi ya bunge kuonekana kuna sheria zilipindishwa amini usiamin yule siyo kashilila kuna MTU alimuingia kashilila na kumwambia sema hivi ionekane bwana yule bado hajakosea kitu ambacho kinazidi MPA ukuu wa kipekee makonda wa kuwa juu ya sheria na kuwa na uwezo wa kumkabili yeyote kwa sababu ulinzi anao.

NINACHOTAMANI,

nikuungana na mapendekezo ya wengi juu ya makonda kujitafakari njia anazotumia kuongoza na kuyakabili matukio makubwa kama hayo ya madawa ya kulevya, natamani makonda awajibike au awajibishwe kwa kuwekwa kando katika majukumu ya ukuu wa mkoa au apewe kauli ya kutafta mbinu mbadala kuacha hii aliyonayo Sasa. lakin itaishia kutamani lakin haitotokea kwa sababu yule akiwajibishwa itaonekana kuna watu wamemshinda yeye na kiongozi mkuu wa nchi, kitu ambacho mtawala yeyote hataki kukisikia kuona anashindwa na MTU au kikundi cha watu, kwa namna hiyo ninaamin watu wataendelea kuchafuliwa sana na kudhalilishwa, na usishangae tunaomba awajibishwe lakin akapewa mamlaka ya juu zaidi ya aliyonayo zaidi ili watukomoe vizuri.

Binafsi hadi sasa sijui na sidhan kama kuna MTU au kikundi cha watu kumzima jamaa yule kwa aina ya support anayopewa toka juu. na ninaamin hata baadhi ya mawaziri wanaamua tu kulitolea kauli jambo hili kwa vile tu inawapasa hivyo na hawawezi kujitokeza hadhalan kupingana na yanayofanyika lakin mioyo yao haisadiki kabisa Yale yanayofanywa na makonda maana yeye sasa ndie waziri wa wizara karibia zote na wao ndio wakuu wa mikoa .
 
Kwakufupi tu
Mkumbuke kuwa SIZONJE amesema vita aliyoianzisha dogojanja sio ya kwake ni ya SIZONJE mwenyewe hivo akiumbuka Dogojanja ndio ameumbuka SIZONJE
 
Kuna kitu najiuliza weledi wa mambo mnisaidie kulingana na maelezo ya gwajima na mbowe kama aproach aliyoitumia makonda si sahihi ina maana mlolongo wote kuanzia kwa wasaanii na akari alowataja hadharani pia ni batili ??
Je wale ambao hukumu zao zishafanyika na wao wanaweza fungua kesi ya kudhalirishwa au inakuaje apa wanasheria mnisaidie
 
Back
Top Bottom