Recent content by Majori

  1. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Magari used Tanzania

    Natafuta corola RUMION
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    0717124037 add na hii mkuu
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    [emoji23][emoji23][emoji2][emoji23]Huyu mi namuonaga kama yule Elneny tuliemuuza...yani mipira Yao haibadiliki
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Ananiudhi sana huyu kocha....yule ni world class player huez kumueka bench kwa personal issues wakati anaweza leta matokeo chanya
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Wasiojua umuhimu wa fundi Ozil hawajui mpira
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Pepe nae game imemkataa leo
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naishi na maumivu ya tumbo kwa zaidi ya miaka 14

    Tangu 2005...Ulcers sina
  8. M

    JamiiForums Tanzania Naishi na maumivu ya tumbo kwa zaidi ya miaka 14

    Mkuu naona tatizo ndo linazidi cjapata nafuu ata kidogo...kila siku ya leo nafuu ya jana
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naishi na maumivu ya tumbo kwa zaidi ya miaka 14

    Sawa ndugu...nmeanza juzi doze
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naishi na maumivu ya tumbo kwa zaidi ya miaka 14

    1.Pombe sinywi. Mara chache sana nakunywa Sweet Wines 2.Matunda nazingatia sana..mwanzoni yalinisaidia ila siku izi sion impact yake. 3.Style gani nzuri ya kulala mkuu?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naishi na maumivu ya tumbo kwa zaidi ya miaka 14

    Ahsante ndugu Ntazingatia [emoji1488]
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naishi na maumivu ya tumbo kwa zaidi ya miaka 14

    Sina mkuu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naishi na maumivu ya tumbo kwa zaidi ya miaka 14

    Choo kinakua dynamic. Kuna siku kigumu na kuna siku laini. Mkojo unakua mweupe pale ikitokea nmekunywa maji mengi ila nkinywa let say 1ltr mkojo unakua Njano. Maumivu mara nyingi ni usiku na swala la kupata usingizi kwangu imekua mara chache sana zaid nakua najigeuza geuza tu kitandani adi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naishi na maumivu ya tumbo kwa zaidi ya miaka 14

    Nashukuru sn Ndugu[emoji1488]
  15. M

    JamiiForums Tanzania Naishi na maumivu ya tumbo kwa zaidi ya miaka 14

    Nashukuru sana Ndugu yangu ...umeniongezea kitu ambacho sikuwa nacho kwenye fikira zangu...zoezi linaanza leo leo....Punje nitafune ngapi mkuu?
Back
Top Bottom