Recent content by Majoja7

  1. Majoja7

    JamiiForums Tanzania JWTZ kupiga doria barabarani: Mwamunyange ameenda mbali mno...

    Umefilisika hoja na ni shetani mmojawapo!!!
  2. Majoja7

    JamiiForums Tanzania Slaa kutikisa kampeni za udiwani Lwenzera-Geita:CCM waweweseka,washusha shehena ya culverts kuhadaa

    Mkuu kweli tufahamishe awali diwani alikuwa wa chama gani, na kuyaleta hayo makaravati kipindi hiki ni rushwa!!! wajiulize kilichowatokea Igunga baada ya Magufuli kuhaidi kujenga daraja endapo atachaguliwa mbunge toka Chukua Chako Mapema
  3. Majoja7

    JamiiForums Tanzania PICHA: MBAGALA ILIVYOKUWA LEO, MABOMU;Vurugu bila busara kutumika si-rahisi;Makanisa 3 ya yavunjwa ?

    Hajapiga siasa yoyote ya kiimani, nadhani wewe sasa ndio unaingiza siasa tena za kiuslamu! Watot wanadhihakiana wao kwa wao, watu wazima wenye sigda mnachukulia ni jambo la kidini!!!!! Huyo mtoto aliekojolea hakuwa na Quran (NAHESHIMU KITABU HIKI) huyo mwenzake wa dini husika ndie alikuwa nacho...
  4. Majoja7

    JamiiForums Tanzania PICHA: Uharibifu uliosababishwa na Waislamu Mbagala

    hawa c wa kuwasamehe hata kama tunaamini mtu akikukosea umsamehe saba mara sabini, imetosha! kumbuka walivyofanya tunduru kuchoma nguruwe, muislamu anachoma nguruwe? ili iweje? kuna haja ya kuwajibu kwa vitendo
Back
Top Bottom