PICHA: MBAGALA ILIVYOKUWA LEO, MABOMU;Vurugu bila busara kutumika si-rahisi;Makanisa 3 ya yavunjwa ?

Tanganyika ndio wapi?
Tuanzie hapo kwanza, ili tujue wewe ni kanjanja au sio kanjanja.

Oh... Nadhani kweli tunahitaji ELIMU BORA; Hiyo ni HISTORIA ya DARASA la NNE...
Kama hauijui Sasa kweli hapo itakuchukua Miaka 50; kujua HISTORIA ya NCHI Unayoishi ?
Ndio Maana nasema ELIMU yetu IMEBOMOKA kabisa... Na Unatumia tabia ya kibaguzi to call people names...

Did you know judging a person is a SIN ?
 
Mambo ya Udini Mi binafsi inanigusaga sana nikiona humu jamvini!

Serikali yetu haina Dini ni mtu kuheshimu kile mwenzake anaabudu!

Hata hivyo ninaweza kuilaani serikali legelege kwa kushindwa kutoa kauli kwa yeyote yule mwenye nia hii ya kuleta Udini ndani ya Serikali!

Hakubaliki hata kidogo!
 
Mtoto wa Kiislamu: " mtu yeyote atakayechezea quraan majini yatamuua hapo hapo"
Mtoto wa Kikristo: "mimi naweza kuukojolea na hakuna jini litakalonifanya chochote"
Mtoto wa Kiislamu: "kojolea tuone, kojolea sasa, mbona unaogopa..kojolea"
Mtoto wa kikristo: "Flup chwarararaarararararararara"
Mara pu pu pu mpaka polisiiiiiiii
Baadhi ya waislamu mbagala: "haiwezekani, huuuwii, wakristo wametutukana, walutheri na wa TAG na Wasabato na wakatoliki wametutukana, wamekojolea msaafu. Kwanza lete hako katoto tukaue."

Mara choma makanisa, choma vyombo vya muziki, pasua vioo.........

Hii inaonyesha baadhi ya waislamu wana hamu sana ya kushambulia wakristo, makanisa yao na mali zao. Wanangoja sababu kidogo tu.

Funzo kwa watoto wa kikristo wanaopenda ubishi:" ukichezea msaafu ni kweli kuna uwezekano wa kuuawa, lakini siyo kuuawa na majini bali kuuawa na waislamu wenye hasira kali."

I like this.
 
Mkuu wangu sio swala la wewe kutooona wala kusikia isipokuwa umepandikiza nini nyumbani kwako ama kutapandwa nini huko ktk misikitini na makanisani, majukwaa ya siasa, mitandao na kadhalika. Hata miye sijawahi kusikia msikitini Sheikh akiiukashifu Ukristu lakini najua wapo Masheikh na misitiki wanafanya hivyo, na majua fika wap[o Mapadre wanaoukashifu Uislaam na kuuita dini ya Mashetani. Sijawahi kusikia muislaam akikojolea mkojo Biblia..

Haya yote ni matokeo ya kile tulichopanda sisi wenyewe mbona mabo haya hayakuwepo wakti wa Nyerere?..iwejje ghafla kumetokea CHUKI kubwa baina ya Waislaam na wakristu pasipo kuwepo na sababu. huyu kijana alokojolea Msahafu ni sababu ndogo tu ilokuwa ikisubiriwa, na sasa imepatikana hoivyo hata huyo Sheikh alosema watu wangetumia Busara hakujua ya kwamba inapofikia kiwango hiki busara hazitumiki tena. NI sawa na mtu kakutukania mamako wakti wewe siku nyingi sana unamtafuta ubaya. Akikupa sababu tu unaweza mrushia ngumi ya Uso na hata kumkatakata kwa Mapanga...Kumtukana mama yako haikuwa sababu hasa isipokuwa nyuma yake kuna hoja kubwa zaidi - CHUKI

Jamani jamani nilishasema sana kuhusu hali hii ya kwamba hata mitume wetu iwe Yesu au Muhammad waliwafuata watu wasioamini na kuwavuta ktk imani ya dini. Hawakuwaita majina ya ajabu wala kukashifu imani zao isipokuwa kuwaelekeza njia ilo sahihi. sasa kama utaukashifu Uislaam au Ukristu unategemea kweli utaweza kumvuta muumini unayehitaji aokoke?. Hivi siku hizi DINI imekuwa ya WATU? imefikia mahala binadamu wana own dini badala ya Mwenyezi Mungu nasi tunatakiwa kufundishana yaliyoongoka! hee?. Utaweza vipi kufuta UJINGA ikiwa wewe mwalimu unamdharau MJINGA?..utathaminika vipi kama mwalimu au mchungaji ilhali unaotaka kuwafundisha huwapendi..I mean tumeichukua dini kusiko kabisa na hakika sitoshangaa kwa nini nchi zetu Maskini..Hizi dini sio dini zilizoachwa na mitume ni dini za binadamu tulozitunga sisi wenyewe..

Sijawahi kusikia kamwe kiongozi wa dini ya kikiristo akiita dini ya kiislan eti ni dini ya mashetani....wacha uongo mkuu..
 
Majuzi nimesoma ile habari ya Pakistan official aliyetoa statistics za Jews na Moslems akisema hawana furaha kwenye nchi zao ila wana furaha kwenye nchi UK, US, Norway, Canada na kwingineko. Nimeisearch sijaipata msaada tafadhali. Ina uhusiano na haya yaliyotokea Mbagala, Elimu...
 
Kitendo cha waislamu kufanya fujo hakuipi heshima quran bali kinazidi kuidharirisha quran ina maana quran ndo inawatuma kufanya fujo.?hawa jamaa kadri siku zinavyozidi kwenda nazidi kuwadharau na pia nakua na mashaka na imani yao kama kweli mafundisho yao yanatoka kwa mungu.Kwa akili zao wanadhani kua fujo zitawafanya waheshimike kumbe fujo zinazidi kuwafanya wadhaurike.Nawaona kama watu waliokata tamaa na dini yao.Hawana tofauti na mimi mpagani.
 
as usual mbagala,manzese na kwa walalahoi wengine

huwezi sikia masaki,mbezi beach..ingawa huko kuna watu wa dini zote pia

Mbagala, manzese ba sehemu zotre zenye population kubwa ya waislamu zina mapungufu mengi. kikubwa ni elimu. Mbezi ya morogoro road, kuna wahamihaji wengi zaidi kuliko wenyeji (majority waislamu), ambao ni wa dini zingine na hivyo wamesoma. Tatizo ni ukosefu wa elimu. Nyerere alisema hawa watu tusipo wapa elimu watatusumbua. Nabii alitabiri. Sasa tufanyeje! Wao ni ALLAH from day to night.
 
Saa Nyingine hizi habari zetu zinakuwa One SIDED zinatia kichefu... Sasa kama Mwandishi ameandika Makanisa 3; Yalibomolewa mbona hakuweka hizo picha ? Ni Uandishi au Ushabiki ?

* Maisha yetu yoote tuliyoishi Tanganyika; Utotoni hadi Ukubwani, hatujawahi kuwa na UBISHANI wa AINA HII Wa kuingilia VITABU VITAKATIFU; NI WAZAZI; SHULE ZETU; MAZINGIRA YETU YA SASA; AU UMBALI wa SERIKALI yetu Kwa Wananchi ?


Watt wote wangekuwa
 
Watu wote wangekuwa na upeo wa kimawazo Kama wako kila kitu kingekuwa safii kabisa
MUNGU akubariki
 
Mungu atubariki. Nchi hii inaongozwa na busara za wakristo. What could happen if they could react. Waislam tuongeze ustaarabu sio huu wa kubishana tu fanya kwa vitendo.
 
ashukuriwe Yesu kristo aliyetufumbua zaidi macho kuhusu torati!aliyetimiza iyo torati...wakristo tuko kiroho tangia kipind cha kristo,waaslam wamebak kimwili zaidi,wanaamin sadaka za damu mpaka leo,Yesu ndio kiongoz wetu na yeye tu ndiye aliyerudishia sikio lililokatwa la Mmoja wa watu waliokuja kumkamata..ushaur wa bure kwa waslamu vita vya iman ni vya kiroho, kwan Mungu hayuko kwenye mwili na damu,sasa kaz ya waumin nikumziirisha mungu wao kwenye ulimwengu wa kimwili kwa utendaj kaz wa maandiko ya vitabu vyao:mfano rahis huyo mtoto aliye kojolea kuruan siimeandikwa majin yatampiga mpaka afe,sasa jana ilitakiwa myaachie kaz majin yafanye kaz yake,..nashangaa mnamfuata tena mpaka kituon!kwan vip mbona jana hayakutoka kumpiga!hapo inatosha kuwapa jibu kuhusu mnachokiamini!...ndan yapazia najua hii ni mbinu ya chama tawala kuwagawa watanzania ili wapate urais uchaguz ujao,ila ninachowaambia hilo lengo lenu halitafanikiwa kwan kama mkimgusa mtanzania na Mungu wake,MUNGU WA MTANZANIA ATASIMAMISHA KIONGOZ SAFI WAKUWAONGOZA,upande mwingine nawataka wakristo msiwe na jazba pia msisahau yaliynandikwa kwenye efeso vita vyetu sio juu ya mwil na damu!kitendo cha huyo mtoto kukojolea quran kaingia kimwili is not right....wala tusiwape kisingizio waache wafanye bila kisingizio kama ilivyotokea visiwan,.
 
Not true! Wanachotaka waislamu ni kufuta dini nyingine zote mahali popote walipo wao na hasa idadi yao (waislamu) inapokuwa kubwa. Swali rahisi tu: kila kukicha pale Misri wakristo wa madhehebu ya Coptic huuwawa na kuchomewa nyumba zao za ibada na waarabu wenzao (waislamu). Je, hapa napo umarekani unaingiaje?

Tofauti na ilivyo katika nchi zenye idadi kubwa ya wakristo ambako dini zote zina uhuru wa kuhubiri na kujitanua ni kinyume kwa nchi za kiislamu ambako ni kosa kuonekana hata na maandishi ya dini tofauti na uislamu.

Na ndo upumbavu ulipo!alshabab!period
 
huu ni wakati wa kubadilika,tusipende kuchezea vitu ambavyo baadae vitatuweka njia panda,vitabu vya dini zote viheshimiwe
la sivyo tujitaarishe na yale ya nigeria
:peep:
 
Hajapiga siasa yoyote ya kiimani, nadhani wewe sasa ndio unaingiza siasa tena za kiuslamu! Watot wanadhihakiana wao kwa wao, watu wazima wenye sigda mnachukulia ni jambo la kidini!!!!! Huyo mtoto aliekojolea hakuwa na Quran (NAHESHIMU KITABU HIKI) huyo mwenzake wa dini husika ndie alikuwa nacho na kutaka kumuogofya mwenzie kama anavyofundishwa madrasa. Tazameni sasa, unakuwa ni mpambano wa kwenda kuhubiriwa misikitini na kujiandaa kwa mashambulizi ya makanisa mkitokea misikitini!!! AIBU iliyoje?
 
Hawa jamaa wanaamini kuwa wakifa katika harakati hizo za kishenzi watakwenda peponi moja kwa moja; ndio maana wanajiona wako juu ya sheria za nchi! Ninaamini kabisa kuwa kuna sababu za ziada za wao kufanya mambo hayo; hayo ya kukojolea kurani, matokeo ya mtihani wa dini ya Kiislamu, filamu ya Muhamadi, nk yalitumika kama visingizio tu. Mwishowe watoto watagombana mtaani halafu ikatokea mtoto wa Mkristo akampiga mtoto wa Muislamu, waanzishe vurugu, kha!
 
Mbagala, manzese ba sehemu zotre zenye population kubwa ya waislamu zina mapungufu mengi. kikubwa ni elimu. Mbezi ya morogoro road, kuna wahamihaji wengi zaidi kuliko wenyeji (majority waislamu), ambao ni wa dini zingine na hivyo wamesoma. Tatizo ni ukosefu wa elimu. Nyerere alisema hawa watu tusipo wapa elimu watatusumbua. Nabii alitabiri. Sasa tufanyeje! Wao ni ALLAH from day to night.

.....kwa dharau hizi tegemeeni makubwa kuliko ya mbagala ! anzeni kujipanga tuu !
 
Back
Top Bottom