:caked:
Kaka pole xna, jua kua mapinduzi hayaji kupitia mamluki kama wewe, kaka tunafahamu jinsi ambavyo uilvyonunuliwa na magamba (CCM) hapa lushoto na nje ya hapa. Jua kua ndio kwanza unazidi amsha watu usingizini, tena ungehamia kwa magamba kuliko kuweka kituo hapo kwa mzee mrema
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.