Recent content by majjita 01

  1. M

    JamiiForums Tanzania 90% ya kura za Siri zilizopigwa Bunge Maalum la Katiba ni "HAPANA"

    Over. #BACK TANGANYIKA
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Wanahapana wagoma, Kamati yaachwa marikiti

    Wenye namba za simu za hao mashujaa wekeni hapa ili tuwapigie kuwapa moyo wa kusimamia msimamo wao wa kura ya hapana™™™™™
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wajumbe walioikataa rasimu ya Sitta kupokewa Zanzibar kishujaa

    hapo kwenye kubadili kanuni ndpo pagumu. haki ya mungu sasa naiona tanganyika yangu inaingia kwenye machafuko. #BACK TANGANYIKA
  4. M

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya:Humphrey Polepole Live Chanel Ten

    Huyu kijana hakika ni LULU iliyo njema sana katika Taifa ili. Zaidi tumombee kwa mwenyezi Mungu amlinde zidi ya MACCM yasije yaka MLIMBOKA. over. #BACK TANGANYIKA.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nimekubali matokeo, UKAWA Kanda ya Ziwa wako vizuri, Mnyika, Salum ni Combination ya hatari

    MKUU HUKU kanda ya maji CCM ILIKATALIWA TOKA 2010. HAPA MUSOMA SISI TUNAKIITA CHAMA CHAKAVU. over.....!! BACK TANGANYIKA
  6. M

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Katiba yakwama, Zanzibar wapiga kura kuikataa, Washindwa kufikia 2/3 majority

    SHERIA YA nchi HAIRUHUSU over!!!! BACK TANGANYIKA.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Katiba yakwama, Zanzibar wapiga kura kuikataa, Washindwa kufikia 2/3 majority

    kwani mpaka jana wazanzibar wote 142 walipiga kura? kama hawakuisha wote ina maana tutegemee kusikia HAPANA nyingine. #BACK TANGANYIKA
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana serikali sikivu ya CCM

    na huyu je?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kadi za ACT zilizoibiwa zapatikana ofisi za CHADEMA

    WEKA PICHA over
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini tusifikirie Big Results Now katika viwanda?

    MIMI MWENZENU HAPA NIMECHAGULIWA KWENDA KUGONGA Bsc. in mechanical engineering. ILA SIJUI AJIRA NITAPATA WAPI BAADA YA KUHITIMU COZ VIWANDA HAPA KWETU NI SHEEEEDAAH.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Pinda kuhutubia bunge la katiba kabla ya upigaji kura rasimu

    Si kama laki tatu za kila siku wamebakza siyo zaidi ya milioni mbili. Naomba waislamu wakomae na kadhi alafu wakristo nao waigomee ili katiba ya 6 ibume
  12. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Kwa mwendo huu Vincent Nyerere anaifuta CCM Musoma Mjini

    Kwa hapa musoma ccm ilishakufa. Yaani kwa magamba kufanya mkutano hapa musoma mpaka mathayo agawe pesa ndpo raia wauzurie . Juzi wamefanya mkutano jumla ya watu walioudhuria hawafiki hata 60
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kadhi yalitafuna Bunge

    Nasubili kuona hayo majina ya wabunge wa chadema na cuf
Back
Top Bottom