Recent content by Majitha

  1. Majitha

    Pambano hili lisichukue mkondo wa udini. Kivyovyote Gwajima atashinda likipelekwa kidinidini

    Sijui wengine mna akili gani au mna uwezo mdogo wa kufikiri, Gwaji boy yeye amezungumzia issue ya utekaji na kupoteza watu kusikojulikana, wengi mnaojaribu kumshambulia hamjajibu hoja yake ya msingi, na hamna haja ya kutafuta kichaka cha dini cha kujificha badala ya kumjibu, nani mtekaji na...
  2. Majitha

    Ahadi zilizoshindwa kutekelezwa na Askofu Gwajima

    Hata yeye hakuwa sahihi alikuwa anasafirisha wanyama live kwenda uarabuni au unesahau!
  3. Majitha

    Wageni Wavamia Biashara Kariakoo Bila Vibali, Mamlaka Zatazamana

    Katika hali inayoibua maswali mengi kuhusu uzingatiaji wa sheria na maslahi ya taifa, maeneo ya Kariakoo jijini Dar es Salaam yameendelea kushuhudia wimbi la wageni wanaojihusisha na biashara bila kuwa na vibali halali, huku mamlaka husika zikituhumiwa kufumbia macho au hata kuhusika moja kwa...
  4. Majitha

    Malalamiko Kuhusu Mahakama ya Mwanzo Saragana-Musoma Kudai Pesa ya Kusafirisha Watuhumiwa Kwenda Rumande Musoma Mjini

    Malalamiko Kuhusu Mahakama ya Mwanzo Saragana-Musoma Kudai Pesa ya Kusafirisha Watuhumiwa Kwenda Rumande Musoma Mjini Naomba nitumie fursa hii kuwasilisha malalamiko yangu kwa mamlaka husika juu ya kile ninachokiona kama ukiukwaji wa haki za msingi na mzigo usio wa haki kwa wananchi...
  5. Majitha

    Vijana wa Tanzania tuamke na Kujishughulisha Zaidi Kuliko Kusubiri Kuajiriwa na Serikali

    Katika dunia ya leo inayobadilika kwa kasi, changamoto ya ajira kwa vijana imekuwa ni tatizo sugu linalokabili nchi nyingi, ikiwemo Tanzania. Kila mwaka, maelfu ya vijana wanahitimu vyuo vikuu, vyuo vya kati, na shule za sekondari, huku nafasi za ajira serikalini zikiwa chache mno kulingana na...
  6. Majitha

    Barabara ya Lindi- Mtwara

    Changamoto ya Barabara ya Kusini (Mtwara–Lindi) na Namna ya Kuiondoa Barabara ya Kusini inayounganisha mikoa ya Mtwara na Lindi ni kiungo muhimu cha maendeleo kwa wakazi wa maeneo haya na taifa kwa ujumla. Barabara hii inahusisha shughuli za usafirishaji wa mazao, bidhaa, na watu, hivyo...
  7. Majitha

    Matatizo ya VETA na jinsi ya kuyatatua

    MATATIZO YANAYOIKUMBA VETA TANZANIA NA NAMNA YA KUYATATUA Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) nchini Tanzania ni taasisi muhimu inayotoa mafunzo ya ufundi kwa vijana ili kuwapa ujuzi wa kujiajiri na kuajiriwa. Hata hivyo, licha ya umuhimu wake mkubwa, VETA inakabiliwa na matatizo...
  8. Majitha

    Ufanyaji wa biashara holela

    Habarini wana nzengo, Nichukue fursa hii kutahadharisha kile kinachoendelea nchini na mamlaka husika zinafumbua macho na wala hazichukui hatua stahiki. Inashangaza kwamba kwenye miji mingi nchini biashara hufanywa holela pasipo kuzingatia sehemu husiku, na hivyo utakuta wafanyabiashara...
  9. Majitha

    Tumemuona Rais Trump akicheza na Mkewe baada ya Kuapishwa rasmi, hivyo tunaomba na wengine wakiapisha hivi karibuni nao wacheze na Wake / Waume zao

    Siyo kila anachofanya mzungu ni kizuri, na siyo kwa vile Trump amembusu mkewe na siye tuige, ndiyo maana mnaiga hata ushonga na mambo mengine ya hovyo Moto wa LA unawahusu mkiendelea kuigaiga,
  10. Majitha

    Ninajua kila mtu anajua kinachoendelea kule Los Angeles ila sijui ni wangapi wanajua chanzo cha ule moto unaouangamiza mji wa uzuri wa Dunia

    Ni kwa vile watu hawasomi vitabu ,nabii E.G white aliandika 1906 kuhusu kuungua kwa los angels na Chicago kama maasi yataongezeka. Na kama watu hawatamrudia Mungu. Lakini kwa vile shetani amepofusha fahamu zao ndio maana wakaanza kumdhihaki Mungu. Lakini wamevuna kile walichopanda kwa...
  11. Majitha

    DOKEZO KERO Mahakama ya Mwanzo Bunda mjini inawachangisha walalamikaji Tsh 1,500 ya kununua faili

    Sijui kama hili limewakumbuka na wengine au lakini hali ya Mahakama ya Mwanzo Bunda si shwari. Walalamikaji wanapokwenda kusikiliza kesi zao wanachangishwa pesa ya kununua mafaili @ 1500 na bila kutoa hiyo pesa fail yako haiwezi kusomwa. Mtu anayekusanya hizo fedha ni karani jina na picha...
  12. Majitha

    KERO Halmashauri ya Bunda mjitafakari, msifanye kazi kwa mazoea

    Imenishangaza sana, niko hapa Bunda (Mkoani Mara) nina biashara yangu, jana nilienda Ofisi ya Halmashauri ya Mji wa Bunda ili kufanyiwa hesabu nilipe mapato na ushuru wa hotel (hotel levy), nikaambiwa wako kikaoni, mbali na kusubiri for 5 hours. Baadaye nikaambiwa 'Tunaomba tu urudi kesho', leo...
  13. Majitha

    Kuchangia gharama za uandikishaji zoezi la kuboresha daftari la wapiga kura serikali za mitaa ipo kisheria?

    Habari wananzengo, Tumesambaziwa barua na Chama cha Mapinduzi kutuomba kuchangia kuboresha zoezi la kulipa kura, lakini mie nahisi harufu na rushwa na kupigwa maana daftari ya kupiga kura inaboreshwa na Tume, iweje chama ndiyo kituletee barua. Naomba kusaidiwa. OR TAMISEMI
  14. Majitha

    Mwanamke wa dizaini hii anafaa kuolewa?

    Kama hakuna tafiti huna haki ya kusema, ni wapi imeandikwa kila kiungo cha mwanamke kina gharama? ina maana wanaume hawana viungo! wana nini basi chao? toa ushahidi wa kauli yako!
Back
Top Bottom