Recent content by Majimengi22

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye magari, hanahitaji magari ya kukodi kwaajili ya kupanda wahandisi tu sio mizigo

    Sasa sawa mzee lazima wapitie kwangu kwa anayehitaji coz kuna commission yangu kidogo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye magari, hanahitaji magari ya kukodi kwaajili ya kupanda wahandisi tu sio mizigo

    Habari zenu ndugu.. leo nimekuja na hii... "katika mradi wa kutengeneza rail mpya ya train ziendazo kwa kasi (Standard gauge railway) Tanzania. kampuni ya YAPI MERKEZI kutoka nchini uturuki ndio watengenezaji wa rail hiyo kuanzia dar mpaka dodoma.. sasa basi wametoa fursa kwa kampuni za...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada/ushauri juu ya wapangaji wangu

    Jamani mimi nina ya kupangisha nina wapangaji 7 japokuwa nyumba sio ya kisasa saaana lakini nina tatizo moja. Kuna baadhi ya wapangaji wamepanga hapa kwa mda mrefu sana sasa tumekuwa kama ndugu lakini tatizo sasahivi hawataki kunipa kodi kama inavyotakiwa... Na mimi nawaonea huruma sijui aibu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada/ushauri juu ya wapangaji wangu

    Jamani mimi nina ya kupangisha nina wapangaji 7 japokuwa nyumba sio ya kisasa saaana lakini nina tatizo moja. Kuna baadhi ya wapangaji wamepanga hapa kwa muda mrefu sana sasa tumekuwa kama ndugu lakini tatizo sasahivi hawataki kunipa kodi kama inavyotakiwa. Na mimi nawaonea huruma sijui aibu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Itakuwa vipi ikitokea kikajengwa hata kiwanda kimoja?

    Jaman rais wetu yupo katika mchakato wa kukusanya koz kwa hasira na umakini ili ipatikane pesa ya kuanzishaa viwanda... Tumpeni mda jamani
  6. M

    JamiiForums Tanzania Haya Sasa..!! Hili Nalo Ni Balaa Lingine La Wanawake..!!

    Nakumbuka mbali saaana
  7. M

    JamiiForums Tanzania Haya Sasa..!! Hili Nalo Ni Balaa Lingine La Wanawake..!!

    Hahaha nakumbuka mbali sana hii
  8. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Madalali natafuta madalali

    Mkuranga co mbal na barabara
  9. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Madalali natafuta madalali

    Habari... Jamani nina viwanja na shamba maeneo ya mkuranga nauza kwa bei nafuu,, au kama kuna madalali wanaweza kunisaidia naitaji msaada wenu pia mawasiliano 0716927850
Back
Top Bottom