Recent content by maji ya upako

  1. M

    JamiiForums Tanzania DVD/CD Printer na DVD duplicator mashine

    Natafuta printer yenye uwezo wa kuprint kwenye DVD/CD na DVD duplicator mashine . Kwa anayejua naweza pata wapi kwa bei nafuu au mwenye navyo hata kama vimetumika kidogo ila bei iwe nzuri .Tuwasiliane 0714890018
  2. M

  3. M

    JamiiForums Tanzania Najiajiri kupitia matangazo na promotion

    Habari wadau . Baada ya kuingia sana humu na kusoma post mbali mbali nimeshawishika na kuamua kujiaji sasa nimeamua kubuni mradi wangu na ninahitaji msaada wenu wa kimawazo na ushirikiano kutoka kwenu ili kufanikisha mradi huu. Baada ya kukaa , kufikiria na kusoma nimeona nijiingize katika...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Na mimi nimejaribu kutengeneza forums jamani!!! Hebu ipitieni

    mimi sio mtaalamu sana , iko fresh sema jaribu kubadilisha rangi naona haziko poa hasahasa hiyo nyeusi
  5. M

    JamiiForums Tanzania kuibiwa gari si uzembe ila kutolipata GARI LAKO NI UZEMBE MKUBWA

    nimewahi kusikia hivyo vifaa , kitu gani kingine kinaweza fanya hiko kifaa chako zaidi ya tracking
  6. M

    JamiiForums Tanzania kutumia internet kwenye tablet

    kuna tablet hapa operation system ni android sasa mimi mgeni kwenye mambo hayo nashindwa tumia internet kwenye moderm nikiweka line ya tigo network haisomi nikiweka ya voda network inasoma lakini haidownload. sasa nashindwa jua tatizo ni nini, wadau msaada tafadhalli,
Back
Top Bottom