Recent content by majeshi05

  1. M

    Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

    Ushauri wangu kwako Emoj Jifunze kusimamia ukweli na ukweli utakuweka huru. Kuna mambo kadhaa ambayo nafikiri bado hujafanya tathimi vizuri ambayo huwenda mbeleni. 1. Umeweza kudanganya pande zote mbili kwa mume wako na kwa kijana… huwezi ficha pande zote mbili…. Ukiamua kuwa unachepuka...
  2. M

    Kutembea na mfanyakazi wako(staff wako ofisini) kuna madhara?

    Linda funguo za hisia zako... ukianza kufungua mlango wa hisia zako utampenda hiyo mtu mpaka utafikiri kuna uchawi kumbe hakuna. Madhara ya mapenzi kazini na staff ni makubwa... ni sawa na kutoka na HG au HB madhara yake ni makubwa na mwisho wake ni aibu. Kama uko tayari songa mbele. Lakini...
  3. M

    Ushuhuda kutoka kwa wanandoa waliowahi kuachana, hasa mliokuwa na watoto mkaamua kuacha kila kitu na kuanza upya

    Pole sana. Ni ngumu sana kushauri kwani kuna mambo mengi hujayasema kwa sababu za msingi. Ingekua rahis kama mtu angejua shida ilianzia wapi mpo kwenye ndoa miaka mingapi, mlianzeje urafiki wenu mpaka mkafunga ndoa, na mumewe alianza kubadilika lini, na maisha yenu ya mahusiano yalikuwaje na...
  4. M

    Mpenzi ameng'ang'ania simu yangu

    Huyo sio Mume dada. Hebu funguka kaa pembeni tafakari. Mwanaume yeyote ambaye anafaa kitwa mume na baba wa familia ni muwajibikaji.. Kama sio mwajibikaji jiulize anafanya nini mpaka saaa yupo nyumbani tu kwa wazazi wake anakutegemea wewe hiyo tu inatosha kumwondoa kwenye kundi la kuwa mume na...
  5. M

    Kutokwa na damu mfululizo baada ya kutoa mimba

    Ndg nenda hosp acha kuchezea maisha yako . abortion ni kosa lakini haikuzui kwenda hospitalini. Tena wahi mapema. Yapo maswali mengi hapo kwanza mimba ilikua na umri gani, ulitumia njia gani kuitoa , baada ya kutoa ulitumia dawa gani..... Ni mimba yako ya kanza kutoa .... Je umeshawahi kuzaa ...
  6. M

    Ile karatasi ya KONDOMU iliyotumika, sijui ilitumikaje mle HOSPITAL.?????

    Hapo kuna stori nyingi.... Ila yaweza kua ni mgonjwa kama wewe alienda nayo akapata dust bin akaitupa. Pia kama chumba cha sindano kinatumika kufanya ultrasound kuna baadhi ya vipimo wanatumia condom. Ila condom ndani ya hosp ni kitu cha kawaida sana.
  7. M

    Je, nimruhusu aje kunitembelea mkoa nilipo?

    Kama unapenda kubadilisha jia angani na kumwacha ulie naye kwa sasa mwambie aje mwaze maisha upya. Ila kama una rafiki mwingine na una future naye na hutaki kumwacha basi huyo wa kwanza mwambie ukweli hauko tayari kubadisha msimamo wako tena. Kama hutafanya hivyo basi endelea kujichanganya. Kuna...
  8. M

    Alinipiga mpaka kuniharibu kizazi kisha akaniacha kwasababu siwezi kuzaa

    Pole sana dada. Ila ulipigwa wakati wa uchumba .... na ukaamini atabadilika... Yapo mambo mengi 1. Kwanza kuwa huwezi badilisha tabia ya mtu hata wewe mwenyewe mwishoni umekiri 2. Kutomwishtaki sio kuonesha upendo au msamaha. Huyo ulistahili kumchukulia hatua. Ili aweze kujifunza.. pili uweze...
  9. M

    Wenye ndoa piteni hapa kwa ushauri

    Kuna sababu ya kandika jina hilo madam.... lakini kikubwa ni kwamba madam lina maana gani kwako na kwake... na ni wakati wa kumwambia kwanini uandike madam na ulipo andika ulikua unamaanisha nini mkae mukubaliane. Ila mimi mwenyewe hapo hilo jina halijakaa sawa.
  10. M

    Elezea matatizo ya Tanzania kwa neno moja tu

    Huwezi elezea kwa neno moja
  11. M

    Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

    kuzama chumvini inawezakana kucha ni wewe tu ujue madhara yake na uamue kuachana na huko ,Kwani kule kuna madhara mengi sana kama vile kumsababishia unamtumia kukosa nguve za kiume na kama ni mwanamke kukosa nguvu za kusukuma mtoto wakati wa kuzaa,vilevile kushindwa kuzuiya haja kubwa wakati...
  12. M

    Serikali ya Tanzania yaridhia utoaji mimba

    sithani kama utoaji wa mimba kihalali utapunguza watoto wa mitaani,kuna nchi nyingi tu waruhusu kutoa mimba lakini bado kuna watoto wa mitaani wengi tu .nikupatie mfano Marekani kuna watoto wengi tu wa mitaani lakini wale watoto wanatunzwa kwenye mashiriaka ya dini,kwa hivyo hawaonekani...
Back
Top Bottom