Recent content by majengoboy

  1. M

    JamiiForums Tanzania David Kafulila; Huu ni mtazamo wake kuhusu sakata la kumvua unaibu katibu CHADEMA Zitto

    Viongozi wengi wa kiafrika ni WOGA SANA WA DEMOKRASIA wanapokua madarakani,wanaipenda sana democrasia wakiwa hawajaingia madarakani ndo maana hcho ni chanzo cha migogoro mingi ndan ya vyama hata kwa nchi!!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sitta Amvaa Kapuya, Lowassa

    Bora wapewe wapinzan kulko kuwapa UKOO WA PANYA,MAANA VIZAZ VYOTE WEZI TU.Mungu tuepushe na Mdudu panya.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wahukumiwa kwenda jela miaka 70 kukutwa na meno ya tembo

    magamba ni sawa na UKO WA PANYA,baba,mama,mtoto,mjomba,shemeji,babu na bibi WOTE WEZI....!!!!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Pccb na interview zao

    mpaka tunasahau kama 2liomba kazi....BOT lini tena jaman au ndo?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Werema; Wabunge ndio watu wenye uwezo mkubwa kabisa wa kufikiri nchini

    Umemnukuu vibaya ndg mtoa hoja; kasema kwamba,watu wanaamin kuwa siku zote WABUNGE NI WATU WENYE UWEZO MKUBWA WA KUFIKIRI..
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nape: CHADEMA wamepewa fedha na wazungu kuvuruga mchakato wa katiba

    Mbona madawa ya kulevya hamyasemei majukwan huko,wakat vijana wanaangamia,washa geuzwa PUNDA wa watu?nyie mnajadil cdm tuuuu!!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kanuni hii ndio imemtimua Mbowe bungeni - Ndungai yupo sahihi

    UNA AKILI wewe!!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Naibu spika: Kumpiga askari wa bunge, Sugu atafikishwa kwenye vyombo vya sheria haraka

    SUGU mpambanaji,nataman angekuwa mbunge wng vile.....!!haki inapganiwa,haidaiwi!!
  9. M

    JamiiForums Tanzania DODOMA wameweza, MOSHI, MBEYA na MWANZA tuige!

    Una akili za mkopo wewe!!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kiini cha vurugu bungeni chabainika

    kwann kamati haikuona hayo?mambo mengne wanampa ujiko tundu lissu...!!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Kingunge Asiturudishe Nyuma Kwenye Hoja ya Uraia Pacha!

    BABU ana hoja nzito kuliko wewe kijana?hatari sana,una mawazo mgando sana,unaweza kwenda nje tu?hujckii fahari kuwa mtanzania?wao wana nafasi kubwa kuja kwe2 kuliko cc kwenda kwao...hongera babu kingunge
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kingunge amgeuka Kikwete: Ashambulia wazee wanaoshabikia mfumo wa serikali tatu; amponda Mwandosya!

    KAONGEA point nzito babu ye2...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi 1,500 wa Tanzania and Zambia Railway Authority (TAZARA) wafukuzwa kazi leo...

    Sheria toa taarifa kuwa mwez ujao nagoma,je,kutopewa mshahara miez 4 waltoa taarifa kwa wafanyakaz 30 days before?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mishahara mipya serikalini 2013

    Mbona cjaona kiwango cha mshahara cha mkulima?au hakimhusu?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Connect Dots: Jambo Leo Liliandika "Maisha ya Mwakyembe Hatarini"... Pinto aliwasindikiza Airport!

    Teh teh teh!chezea lugha ya malkia ww
Back
Top Bottom