Hata yaliyotokea MO29 yalisababishwa na wazee wachache kama huyu. Maana ulafi wao wa mali za umma na kulinda maslahi yao binafsi kupitia Ccm kunawafanya kuwa viziwi na vipofu wa kujua watanzania wanataka nini. Mkwamo wa taifa letu kwa sasa ni kwasababu ya wazee kama hawa. Maana mtazamo wao upo...
Mchoro upo hivi: No 3 amekuwa na ambition za kuwa No 1 tangu muda mrefu na amekuwa akijipanga hivyo akidhani siku moja atakuwa. Bahati mbaya wakati haupo upande wake kwani watu sasa hivi wana mikakati ya kuwarithisha watoto wao hiyo nafasi . Hivyo basi walimtwisha hiyo nafasi wakijua fika...
Hivi viatu havimtoshi, kwanza hawaelewi feeling ya watanzania juu ya jambo hili.
Watz siyo wa kufokewa nyakati hizi, wanadhani kuwa kiongozi wa nchi ni kumiliki wananchi kama watoto wako na kuwaamrisha unavyotaka.
Tuna safari ndefu na kuna kila dalili zinaonekana kuwa hili jambo hailijaisha.
Members wa hiyo Jumuiya ni akina nani na walichaguliwa na nani? Maana sasa hivi kunavikundi vinalazimisha kupata airtime kwaajili ya maslahi ya wahuni. hata anachoongea huoni kinaleta logiczaidi ya kuwatisha tu Watanzania ili washiriki uchaguzi Haramu. Watz wasasa ni werevu kuliko wanavyoweza...
Mama Amon , Nchi hii sasa hivi imekuwa biashara ya watu. Hakuna cha katiba, mahakama wala chombo chochote cha kikatiba kinacho fanya kazi kama inavyotakiwa sasa hivi mambo yanaenda kwa amri ya kikundi fulani tu ambacho kimejipa ukuu na kuwa juu ya sheria , taratibu na katiba ya nchi. Kwa...
Wafuasi ni wengi tu Nchi nzima, hapo serikali imeshafanya hesabu zake. Ndiyo maana imewakusanya manabii wote pamoja na kuwapa nafasi kila mmoja apite mbele na ongea ili waweze kuonekana na wafuasi wao.
Hakuna jambo lolote nyuma ya pazia, isipokuwa ni kwamba huyu bwana anawafuasi wengi na kwa mujibu wa imani ya hawa wafuasi anachosrma mtume ndicho wanachofuata, kwa hali hivyo serikali na wanasiasa lazima wajisogeze hapo ili wafuasi wa mtume moja kwa moja watakuwa wafuasi wao pia kwa utaratibu...
Madaraka mara nyingi huwa yanawafanya watu kuwa vipofu, kutokuona na kusikia katika uhalisia. Yanayoendelea Kenya yapo pia TZ ila tofauti yake ni kwamba hapa kwetu yapo vifuani mwa watu bado hayajatoka nje. Kwa wakenya yapo hadharani.
Ukitafakari kwa makini matukio kama hayo hapa kwetu hatuwezi...
Huyu anatapatapa tu, anaacha kujibu hoja za utekaji na kupotea watu anatafuta support ya makanisa yenye mifumo na waumini wengi. Hata hayo makanisa wakati yanaanzishwa yakiwa na waumini wachache yalionekana kama ni agents wa Shetani vilevile. Anatumia cheo kuleta mipasho badala ya kutimiza...
Madhara ya kuuza Bandari na Mbuga za wanyama kwa waarabu, Pia kuchukua mikopo bila tija na mikataba mingine ya kimafia na magumashi kwa faida ya CCM na genge linalofaidika kwa mgongo wa Chama ndiyo imetufikisha hapa. Sasa imefikia hatua mnateka na mnaua watanzania wenzenu kwa faida ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.