Kama inavyoonyesha kwa waliotangulia, wachache ndio wanafanikiwa. Wengi hawafanikiwi kwa sababu ni ulaji, simu inatafutwa ikipatikana aliyekutwa nayo anaambiwa hiyo simu iliibiwa na mwenyewe ameuawa.
Hivyo aliyekamatwa nayo anatishiwa kufunguliwa kesi ya mauaji. Anapangiwa kima analipa na simu...
Kwa nini swala la point linaonekana ni kwa ajili ya madereva wa binafsi?
Wote ni mashahidi jinsi madereva wa gari za seikali wanavyovunja Sheria za barabarani, na huwa hawachukuliwi hatua zozote kwa overtake za hovyo, kutozingatia 50, na mengineyo, hapo ndio linapoingia swala la uonevu na...
Kizuri ni kwamba Lisu ametangulia wengine wanafuata.
Kitendo cha kuanzia na ushahidi wa Mnyika, Golugwa, Brenda na Heche kinampa nafasi ya kuwafanya atakavyo mashahidi waliobaki.
TUSUBIRI.
CDF, IGP na DCI wanaenda kuithibitishia mahakama jinsi jeshi na polisi ambavyo ni vyombo vya serikali vinatumika kukandamiza upinzani.
Maswali aliyouliza Mh Lisu kwa mashahidi wake ambayo mashahidi walielezea kuhusu kukamatwa, kupigwa, kulala mahabusi na baadaye kuachiliwa, yataulizwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.